Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

Pole ila ushauri wangu punguza huruma kwenye mapenz
 
Hakuna kitu kinaboa bro kama kuwa kwenye mahusiano na mwanamke halafu mmekaa anaanza kukusimulia habari za mwanaume wake aliyepita/aliyemuacha/aliyefariki...like who wanna hear dat shit???

Au umekaa na mwanamke halafu anaanza kukulinganisha na mume/bf wake aliyepita!! Living on the past is a big turnover ktk relationship yeyote.

Hata kama una mtoto usipende kumlinganisha yeye na mtoto wa rafiki yako/jirani yako....eti mbona mtoto wa fulani yupo hivi au vile...aisee inaua sana morale ya mtoto, same inaua mood ya mwanaume.

Huwa nashangaa sisi wanaume tukiwa nao mbona huwa hatupendi kuelezea mazuri ya wapenzi wetu tuliopita nao?! Ila wao huwa wanajisahau na kuanza ku-narrate their past ,how good their spouses were!!!
 
Saiv fokus na maisha kutana na kijana kama mimi tuchaktane no string kwenye kusaidiana basi
 
Mkiwa wabichi huwa mnalinga ila Mkiwa mimama kama saizi mnataka kutwisha zigo mwanaume yoyote ndohapo utaanza kusema umekosa nn kutoka Kwangu kumbe k imepauka sana ukifunua tu inacheka kama mdomo wa kambale, unawatoto umetepeta. Wewe saizi uza hata mahindi ya kuchoma kwenye barabara za lami pembezoni utafute hela ya kodi na sabuni tu
 
Sawa Achana nayo jaribu kilimo
 
Inavyoonekana hiyo ndoa na huyo jamaa ulifosi wewe yeye hakuwa tayari ,
Sasa Angalia imekula kwako.

Aliposema
Mahali ana laki 2 badala ya milioni hadi kufika laki 1 hapo alikuwa anaonesha namna muelewe kuwa hayuko tayari na nyie mkafosi , haya sasa!
Ikimlaumu haimsaidii kitu....imeshatokea
 
Piga moyo konde....usijione wewe ndio mkosaaji. Nuksi au balaa...piga moyo konde maisha lazima yaendelee.....utapona hayo maumivu ya moyo na utahau...nakubaliana na maamuzi yako ya ku focus na malezi ya watoto
 
Huyo wa pili anaachaje mke wa ndoa kwa style nyepesi kama hiyo. Au kuna taarifa umebaki nazo? Naona sababu ni nyepesi sana kwa haya maelezo
 
Hebu acha kejeli zako wewe....ametumika sana wapi....kuweni na heshima hujui anapitia nini....if you can't help them don't hurt them
Heshima zip sasa ushazalishwa sana Nana nan akuoe labda uwe mke wa pili
 
Utakuwa umefanya uamuzi sahihi we kaa lea watoto,hakuna mwanaume wa kulea watoto watatu ,na mama yao hayupo,pole sana dada
 
Hv ww ndio mpyayungu village wa kwenye ile story unayotia huruma!! Wewe jamaa mtata sana!!
 
Ni kweli yaache,ila utafute kibenten cha kukutoa nyege
 
Ikimlaumu haimsaidii kitu....imeshatokea


Tunapojadili matukio kama Haya Pia hufanyika kuwa funzo kwa wengine ambao bado wawe makini wasipite kwenye njia ambazo zimejaa
Majuto.

Hata ikitokea ndugu anataka kujichanganya unampa uzoefu wa jamii kupitia matukio ya wengine ili kuepuka njia za majuto.

Kama mtu wa kusikia atasikia kama tena si msikivu ndio hivyo tena atakuja kujifunza mwenyewe kwa makosa atakayofanya ambako kujifunza Kwa namna hiyo huwa ni kugumu sana na kwenye maumivu kama yote.
 
Labda ukitoe kiungo hicho ukakitupe ndo useme kwa heri mahusiano.Maadam una K.U.M.A LAZIMA M.B.O.O IPATIKANE,coz k.u.m.a matumizi take Ni m.b.o.o.Anza maombi. Maombi ndo tiba,maombi ndo dawa.!!!!Acha kulia,Anza kuamini.Nenda kwa Mwamposa ukasali.Hata nyumbani shiriki ibada zake.Kuishi peke yako huwezi,na uasherati Ni dhambi.
HAKIKA UTANISHUKURU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…