Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Wakati ambao nahisi sikua nimekua vya kutosha nilikuwa namuona Bro wangu niliyekuwa nakaa nae hajiheshimu kabisa kwani alikuwa anabadilisha hawa viumbe kama nguo na nilikuwa namwambia 'kaka haya sio maisha,tafuta mmoja utulie' Bro alikuwa anacheka tu na kujifanya amenielewa.
Mara kadhaa nimejitoa kwa hawa viumbe kilichonikuta sasa tena mtu anakuja kukuacha na vizungu zungu vyake kama vile ni kitu kizuri "You are good man,never did me wrong.but this relationship has never meant to be,i think you deserve better,goodbye"siyasahau hayo maneno kwa sababu nilifanya kila kitu kwa usahihi kwake.inauma sana
Sasa hivi namshangaa mtu ambaye ana mapenzi makubwa kwa mwanamke,ambaye anakuwa committed kwa mwanamke mmoja.hawa viumbe hawastahili huo tunaouita upendo.Ni kupiga na kutafuta mwingine tu.
 
Hehehehehehe, hapana asifanye hivyo kwa usalama wa nafsi yake
Huyu jamaa amenikumbusha Kuna rafiki yangu na yeye mdogo wake alikua na mambo hizo hizo, mademu zake karibia 3 dogo katomber, wana mdogo wao mwingine nae mademu wake katomber, yaani kwao ni kosa kumtambulisha shemeji lazima atumie njia yoyote mpaka awavue chupi.
Kuna siku nilikaa nae nikamuuliza hivi unajisikiaje kutembea na wanawake wa ndugu zako?
Jamaa lilinijibu we hujui tu jinsi mashemeji wanavyokuaga watamu.
 

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ko huyo dogo ye hana wanawake
 
Muite huyo suzie.
Mwambie unajua mahusiano yake

Mwambie mdogo wako unajua alichokufanyia
Kata nao mawasiliano....wauaji hao
 
Kumuhudumia kila kitu haikuwa na ulazima wa kuweka hapa sababu wapo wanahudumia mpaka safari za paris na wanamegewa. Pole sanaa wachaaa nimkataze dogo mazoea na demu wangu sasa.
 
Mungu kakuonyesha bado mapema huyo cyo mwema kwako Kaka il akili kichwani kwako
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaa kaka jitathmini inawezekana hunyandui kama dogo anavyonyandua jitathmini kama vipi piga chini alaaah wako kibaaaao kupenda ilikua zamani shekhe , sikuhizi nyandua sepa
 
Moyo wa kupenda kwa dhati hadi kutaka kujiua huwa ni wa vijana below 30
 
mleta mada fala sana, Eti unywe sumu, mwanaume mzima ujiue kisa mwanamke!!!!, kuna wanawake wengi sana hii Tz na wazuri kuliko huyo mwanamke, ambapo wanaume wote wa TZ tukigawia kila mmoja atakua na wake 9 tisa, tisa.

Afu mwanaume mzima mambo ya kutulilia huku kisa mwanamke ni uchoko huo. Kwanza mwanaume halisi unabidi uwe na akiba ya wanawake watano na zaidi, akizingua mmoja unamtema unabaki na wanne.
 
Kama hujawahi kutendwa basi hujajua kupenda, shukuru umejua mapema kuwa manzi hafai cha msingi muache huyo manzi usije kugombana na ndugu yako wa damu kisa demu uliekutana nae ukubwani
 
Acha ujinga ujinyonge kisa Mwanamke upiyekutana naye Kwa miezi 7 hivi kujinyonga mnaonaga ndio suluhisho la matatizo eeeee! Kwani Huyo Mwanamke umemuoa? Halafu hizi mambo za kutambulisha wanawake kwenu wakati hata wewe mwenyewe hamfahamu japo Kwa asilimia 10, huo ujasiri mnautoaga wapi? Kingine hama hapo nyumbani panga uishi maisha ya kigeto geto utakuja kuthibitisha kuwa ulikuwa mjinga kuwaza kujinyonga
 
Hawa ndio watafanya na wanaume wawe na taasisi ya kupigania haki za wanaume, mwanaume anakuwa mwepesi mwepesi hivyo kama kipepeo
 
Mamumivu ni kawaida kwa binadamu yoyote na huwa yanapita ukijipa muda.

Funga ukurasa wa mapenzi weka wazi ulichogundua kwa wote kisha endelea kuuguza kidonda na maisha mengine yaendelee. Wakati ujao usimuamini ndugu yoyote kwa mpenzi wako au mkeo.

Kuhusu huduma ulizokuwa unampa chukulia ni sadaka au malipo ya penzi ulilokuwa unaenjoy naye. Songa mbele mzee.
 
"Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe."
Uhitaji tena ushauri wewe solution ya tatizo umeipata tayari wajuzi wa mambo apo tunasemaga CASE CLOSED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…