Nimegundua mke wangu ananiroga akishirikiana na wazazi wake

Joined
Sep 9, 2024
Posts
22
Reaction score
57
Wakuu habari ninaomba mawazo na mchango nini nifanye nimegundua mke wangu ananiroga na hii akishirikiana na wazazi wake.

Nimegunduaje nilidukua simu yake na kuona taarifa zote pale alipotoka nyumbani nami kua na wasi wasi kama hio safari si ya usalama kwangu maana ilikua inalazimishwa na wazazi wake kukataa kwingi kukafanya kukasirikiana baina yangu na baba mkwe nikaomba ushauri kwa mzazi wangu wa kiume akanambie we mruhusu ila nilimueka wazi kuhusu kua na wasi wasi na hio safari.

Nilichokiamua ndio nikadukua simu yake na kuweza kuona kila kinachoendelea ukweli ni mtihani ni anataka anikamate kila kitu atachosema mimi niwe naitikia tu na hata nikipata pesa niwe kama bunyenye nafanya kumpa yeye. yawezekana mungu ndie anae nisaidia mimi niliacha tu afanye kila atakalo na alivorudi alirudi na madawa niliyaona na zengine zimeabdikwa kiarabu kwakua najua kukisoma niliona lengo ya hio karatasi.

Ukweli ninasikitika sana katika hili nikitu kimenifanya hata nakua sina hamu nae kabisa. Je, mnashauri nitumie njia gani kumuelimisha aachane na habari za kuniroga maana kama anafata maneno ya wazee wake ajue kua yeye yupo na familia yake?

Napokea ushauri
 
Pole sana.... imekuwa kawaida sikuhizi mnarogwa sana.Lakini mi naona hii asilimia kubwa inafanywa na wasipitia elimu na hana kitu cha kumwingizia kipato... Goalkeeper ni wazuri kukuhudumia home lakini ubaya wao ni huo pia
 
Piga dua dua / maombi kwa wingiii pepo hilo litamtoka mkeooo

Mpe pia hela za kutosha na ile huduma penda --- siku umetulia unamwambia kunasaa naota ndoto nalogwa logwaa tusali pamoja kukemea hali hiyoo ...... fumba macho mwombe pamoja .... kisha mpige chaboo ka kweli amefumba na ana sali

Adui mkubwa ktk maisha ya ndoa ni mwenza wako, kisha ndugu wa karibu ... wanzuki yatengenezwa kwa kutumia majani ya chai na sukariii ... fundo tatu tuuu ushalewaaa
 
Tako 3 chali kwanini msiroge wasiopiga goli nyingi wawe wanafululiza migoli ila mnaroga mpewe Pesa mmefanya mradi kuolewa?
 
Aaaaaaaha! Ndoa ngumu kikubwa kama unasali sali saana kama unaroga na wewe roga sana
Hakuna cha kukaa nae chini sijui umshauri utamshauri nini wakati akili zako anaenda kuzikamata muda sio mrefu? Au mpige chini huyo mbwa wako unayemfuga.🤒
 
Wakuu habari ninaomba mawazo na mchango nini nifanye nimegundua mke wangu ananiroga na hii akishirikiana na wazazi wake.

Nimegunduaje nilidukua simu yake na kuona taarifa zote pale alipotoka nyumbani nami kua na wasi wasi kama hio safari si ya usalama kwangu maana ilikua inalazimishwa na wazazi wake kukataa kwingi kukafanya kukasirikiana baina yangu na baba mkwe nikaomba ushauri kwa mzazi wangu wa kiume akanambie we mruhusu ila nilimueka wazi kuhusu kua na wasi wasi na hio safari.

Nilichokiamua ndio nikadukua simu yake na kuweza kuona kila kinachoendelea ukweli ni mtihani ni anataka anikamate kila kitu atachosema mimi niwe naitikia tu na hata nikipata pesa niwe kama bunyenye nafanya kumpa yeye. yawezekana mungu ndie anae nisaidia mimi niliacha tu afanye kila atakalo na alivorudi alirudi na madawa niliyaona na zengine zimeabdikwa kiarabu kwakua najua kukisoma niliona lengo ya hio karatasi.

Ukweli ninasikitika sana katika hili nikitu kimenifanya hata nakua sina hamu nae kabisa. Je, mnashauri nitumie njia gani kumuelimisha aachane na habari za kuniroga maana kama anafata maneno ya wazee wake ajue kua yeye yupo na familia yake?

Napokea ushauri
Huoni kwamba utakuwa umesaidiwa ili usizuzuke na dunia?Tulia ulogwe mkuu!
NB:Imani za ushirikina hazina kiasi cha afadhali.That is more than dangerous!
 
Mwambie ukweli kwanini mnashirikiana na wazazi wako kuniroga!!?

Akikataa mpe ushahidi!!

Baada ya hapo mwandikie talaka aende !hasta ukimuonya wazazi wake ndio watakiroga zaidi!

Kila la kheri!
 
Pole sana. Mwambie ili ajue kuwa unajua anachofanya. Kuongea muda mwingine kunasaidia. Pia muombe Mungu aendelee kukulinda maana amekufunulia ili ujue matendo ya mke wako.
 
Pole sana.... imekuwa kawaida sikuhizi mnarogwa sana.Lakini mi naona hii asilimia kubwa inafanywa na wasipitia elimu na hana kitu cha kumwingizia kipato... Goalkeeper ni wazuri kukuhudumia home lakini ubaya wao ni huo pia
Nilishangaa siku moja mchepuko wangu anasema kaona alama ya kulogwa mwilini mwangu

Kuna rafik yang wa karibu sana ndo alimtuma anichunguze baada ya kuona mienendo yangu imebadilika

Sijachukua uamuzi wowote mpaka sasa,maana mambo hayo nakuwaga mzito kuyafatilia
 
Back
Top Bottom