mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 561
Tangu akiwa mwaka wa 1! Alikuwa ni miongoni katika moja ya madhebhebu ya kiimani ya chuo, wakati huo mimi nikiwa mwaka wa 3Pole, ulikuwa unasoma naye? Mahusiano yenu yalianza lini?
Ali cheat, kwa mujibu wake!Ni nini kilichopelekea yeye kutoa ujauzito?
Ali cheat, kwa mujibu wake!
Huyo mwanamke ni muuaji na hana uoga tena kashakua jasiri wa kutoa mimba 2, jamaa hata akimuoa akawa mke ndani anaweza kuchepuka akapata mimba na bado akai abort tu...Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Akili fupi sanaHelloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili.
Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate, NIMEAMUA RASMI KUMUACHA NA KUSITISHA NDOA, AMEPIGA SIMU ZAIDI YA MARA 70 NIME MUTE.
Ahsante m ungu kwa kuniepusha na huyu gold digger!View attachment 2050980
Kama alikucheat tayari mkiwa kwenye uhusiano piga chini huyo.. Shukuru sana kwa kuyajua hayo mapema na Omba MUNGU upate mwanamke mwingine mwenye uafadhari wa majanga make wote hawajakamilika kila mwanamke na mapungufu yake..Ali cheat, kwa mujibu wake!
Huyo mnamhukumu kwa kuwa amekuwa mkweli na muwazi. Unajuaje huyo mpya akayekuja kumuoa yeye ametoa mimba ngapi? Ukitafuta mwanamke malaika wa kuoa, dunia hii hutaoa kabisa. Alikosea kama wengine na bado anaweza kuwa mke mzuri tu!Huyo mwanamke ni muuaji na hana uoga tena kashakua jasiri wa kutoa mimba 2, jamaa hata akimuoa akawa mke ndani anaweza kuchepuka akapata mimba na bado akai abort tu...
Pia hapo mwanamke inamuweka kwenye hatari ya kua mgumba au kuharibu kizazi so jamaa anaweza akawa anataka kuoa mwanamke mgumba/tasa tayari pasipo kujua baadae waanze kutafuta mchawi nani mbona hawapati mtoto miaka inasonga ndoani..
Wengine hawatoi ila wanatumia p2 ama njia za uzazi Point ya msingi Ukitaka kuoa oa Mind ya mwanamke na sio Mwili wake.Huyo mnamhukumu kwa kuwa amekuwa mkweli na muwazi. Unajuaje huyo mpya akayekuja kumuoa yeye ametoa mimba ngapi? Ukitafuta mwanamke malaika wa kuoa, dunia hii hutaoa kabisa. Alikosea kama wengine na bado anaweza kuwa mke mzuri tu!
Nimekupenda bure. Umepita katikati bila kupendelea upande wowote. Asante kaka!Wengine hawatoi ila wanatumia p2 ama njia za uzazi Point ya msingi Ukitaka kuoa oa Mind ya mwanamke na sio Mwili wake.
Unayemwoa utakaa naye sana kuhukumu past yake ni aina fulani ya ujinga.
Kila mtu ana mistake zake tukisema kila upande wahukumiwe matendo ya wanaume ni machafu zaidi ( Mimi pia ni mwanaume)
Karibu Sana Mkuu..💪Nimekupenda bure. Umepita katikati bila kupendelea upande wowote. Asante kaka!
Ulipataje kujua kuwa ametoa mimba?Tangu akiwa mwaka wa 1! Alikuwa ni miongoni katika moja ya madhebhebu ya kiimani ya chuo, wakati huo mimi nikiwa mwaka wa 3
Mkuu hivi hizi p2 hazina madhara kweri kwa wadada huko mbeleni?Wengine hawatoi ila wanatumia p2 ama njia za uzazi Point ya msingi Ukitaka kuoa oa Mind ya mwanamke na sio Mwili wake.
Unayemwoa utakaa naye sana kuhukumu past yake ni aina fulani ya ujinga.
Kila mtu ana mistake zake tukisema kila upande wahukumiwe matendo ya wanaume ni machafu zaidi ( Mimi pia ni mwanaume)