Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Watoa mimba wanapopongezena daadekNimekupenda bure. Umepita katikati bila kupendelea upande wowote. Asante kaka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoa mimba wanapopongezena daadekNimekupenda bure. Umepita katikati bila kupendelea upande wowote. Asante kaka!
Huyo mnamhukumu kwa kuwa amekuwa mkweli na muwazi. Unajuaje huyo mpya akayekuja kumuoa yeye ametoa mimba ngapi? Ukitafuta mwanamke malaika wa kuoa, dunia hii hutaoa kabisa. Alikosea kama wengine na bado anaweza kuwa mke mzuri tu!
Sijajua uwezo wako wa Kutafakari lakini Naona TATIZO.Watoa mimba wanapopongezena daadek
Ushawahi kutoa mimba, ??Huyo mnamhukumu kwa kuwa amekuwa mkweli na muwazi. Unajuaje huyo mpya akayekuja kumuoa yeye ametoa mimba ngapi? Ukitafuta mwanamke malaika wa kuoa, dunia hii hutaoa kabisa. Alikosea kama wengine na bado anaweza kuwa mke mzuri tu!
Maji ukizidisha unaugua, shule ya wapi hiyo mkuu???Kiukweli kama Maji tu ambayo ni salama kwa Afya ukizidisha utaugua Je Kemikali yenye lengo la kuvuruga utaratibu mzuri wa Mwili...Zina Madhara
Dhambi Husamehewa pia makosa vilevile Lakini matokeo ya hayo yote hayatafutika.
Ni hayo tu Mkuu[emoji123]
UmejuajeHelloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili.
Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate, NIMEAMUA RASMI KUMUACHA NA KUSITISHA NDOA, AMEPIGA SIMU ZAIDI YA MARA 70 NIME MUTE.
Ahsante m ungu kwa kuniepusha na huyu gold digger!View attachment 2050980
Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili.
Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate, NIMEAMUA RASMI KUMUACHA NA KUSITISHA NDOA, AMEPIGA SIMU ZAIDI YA MARA 70 NIME MUTE.
Ahsante m ungu kwa kuniepusha na huyu gold digger!View attachment 2050980
Kwa hiyo wewe kutoa mimba sio ubinafsi? Si ungezaa sasa km ni mwema sana, Yaani ujichanue mwenyewe Afu ulaumu watu kwa ujinga wako!Daima mkuki huwa mtamu kwa nguruwe lakini kwa binadamu huwa mchungu sana. Ungehesabu ulizini na wasichana mara ngapi kabla ya kuoa na kisha ukaimagine kila ulipozini ulisababisha mimba na zilitolewa, basi ungekuwa mnyenyekevu kwa kutambua ni kwa kiasi gani umekuwa mharibifu na mdhambi pengine kuliko hata huyo mdada aliyetoa mimba 2! Pathetic men. Ubinafsi ndio dhambi yenu kuu!!
Kwamba hujaona strong reason? asante Dj[emoji16]Past is past life goes on..sijaona strong reason ya kumuacha hapo as long as ni mambo yalokwishapita.
Ndio ndio, simple like that.Kutoa mimba ni jambo la kawaida kwa wanawake ni sawa tu na nyie wanaume mnaotelekeza watoto, achen kumnyooshea kidole hamjui nini kilimsibu,
Siyo rahisi kihivyo,kitendo cha kuchepuka tu na kujisababishia ujauzito kisha kwenda kuutoa hilo linamtoa ktk hali ya kawaida ya binadamu wa kike.Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Kiukweli imenibidi nisome muendelezo wa Majibu yako nimegundua Changamoto Chache lakini kubwa zaidi ni Ile Kasumba ya kumuhukumu mtu na kujiweka katika nafasi kwamba wewe unastahili Mwanamke asiye na Historia yoyote Nyuma.
Sasa tuweke mizani sawa Wewe umekuwa safi muda wote? Ninachomaanisha wewe ulichowahi kupitia ni ndoto nyevu tu za usiku Angalau utakua na mantiki.
Ila kama sivyo Narudia tena Utakua na shida kwenye namna Unafikiria.
Kaa chini tazama jamii ilivyo sasa hivi tena fanya hivyo kupitia MATENDO yako MWENYEWE kwanza kama mwanaume kisha utafakari namna unaiforce Nature Kukupa choice zako.
Nature always inakupa unachostahili kinyume na matamanio yako Kijana.
Kwamba tatizo ni huelewi maana ya kuugua ama ni unataka nikuletee Bandiko la tafiti za kisayansi Kuthibitisha.... Anyway kwenye ulimwengu wa sasa Taarifa ni nyingi na upatikanaji wake ni rahisi sana Just Google it.Maji ukizidisha unaugua, shule ya wapi hiyo mkuu???