Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Huyo mnamhukumu kwa kuwa amekuwa mkweli na muwazi. Unajuaje huyo mpya akayekuja kumuoa yeye ametoa mimba ngapi? Ukitafuta mwanamke malaika wa kuoa, dunia hii hutaoa kabisa. Alikosea kama wengine na bado anaweza kuwa mke mzuri tu!
Labda ni kwako si kwangu, huyo malaika nitatafuta na nitampata.
 
Wengine hawatoi ila wanatumia p2 ama njia za uzazi Point ya msingi Ukitaka kuoa oa Mind ya mwanamke na sio Mwili wake.

Unayemwoa utakaa naye sana kuhukumu past yake ni aina fulani ya ujinga.

Kila mtu ana mistake zake tukisema kila upande wahukumiwe matendo ya wanaume ni machafu zaidi ( Mimi pia ni mwanaume)
Upo sahihi, ni mtazamo wako.
 
Huyo mwanamke ni muuaji na hana uoga tena kashakua jasiri wa kutoa mimba 2, jamaa hata akimuoa akawa mke ndani anaweza kuchepuka akapata mimba na bado akai abort tu...

Pia hapo mwanamke inamuweka kwenye hatari ya kua mgumba au kuharibu kizazi so jamaa anaweza akawa anataka kuoa mwanamke mgumba/tasa tayari pasipo kujua baadae waanze kutafuta mchawi nani mbona hawapati mtoto miaka inasonga ndoani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......

Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....

Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.

Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo gold digger ni binti alietoa mimba?

As long as umeshawahi ku sex na mwanamke peku, na hukumuoa... hata kama hukuthibitisha alipata mimba au la, hata wewe umehusika katika utoaji wa mimba kwa sababu sio mara zote wanawake wanasemaga wakipata ujauzito.

So before pointing fingers, take some water.
Ndyooooh.
 
Usimuoe mkuu, hiyo ni red light. Hujui maisha yake yalivyokuwa ulivyomwacha chuo, kakwambia mara mbili, you never know ametoa mara ngapi, au kalala na wangapi, hakujali hata kama kuna magonjwa yeye akala pipi bila ganda lake.
Ni kasoro sawa ila sio hizo ulizotaja za kutoa toa mimba, mtu wa hivi kwangu HANA NAFASI. SIWEZI KUOA BITCH! KWANGU NI MWIKO.
 
Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili.

Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate, NIMEAMUA RASMI KUMUACHA NA KUSITISHA NDOA, AMEPIGA SIMU ZAIDI YA MARA 70 NIME MUTE.

Ahsante m ungu kwa kuniepusha na huyu gold digger!View attachment 2050980
Mkuu hujawah kupga masterbation?? kama umewah bas nawe umeua watoto kwa namna tofaut
Enewei pole sanaa
 
Najaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......

Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....

Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.

Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
[emoji23]
 
Mkuu hivi hizi p2 hazina madhara kweri kwa wadada huko mbeleni?
Kiukweli kama Maji tu ambayo ni salama kwa Afya ukizidisha utaugua Je Kemikali yenye lengo la kuvuruga utaratibu mzuri wa Mwili...Zina Madhara

Dhambi Husamehewa pia makosa vilevile Lakini matokeo ya hayo yote hayatafutika.

Ni hayo tu Mkuu💪
 
Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Una mashetani? Yaan kutoa mimba sio issue? Amaa kweli kizazi cha nyoka
 
Back
Top Bottom