Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Ngoja waje kukupa muongozo...
Hahaha nimecheka sana, kuna sehemu ulitoa maoni kwenye mada flani.

Jamaa akakuuliza, leo utaki waje kutoa muongozo?? Sikujua maana yake.

Nimeanza na mm kukukariri, we jamaa comedian ujue, hauna mambo mingi.

"Ngoja waje kukupa Muongozo" kuna mwingine yeye huwa "nakaa siti ya mbele kabisa"

Hahahaha
 
Kutoa mimba ni jambo la kawaida kwa wanawake ni sawa tu na nyie wanaume mnaotelekeza watoto, achen kumnyooshea kidole hamjui nini kilimsibu,
Aiseee dunia ina speed, kutoa mimba ni jambo la kawaida duuuh.

Unaposali ndio ulifundishwa kutoa mimba ni kawaida.
 
Past is past life goes on..sijaona strong reason ya kumuacha hapo as long as ni mambo yalokwishapita.
Ebwana eeh..past is past,??

No strong reason, asalaleee, unaendaga hata nyumba za Ibada lakn.

Hiyo dhambi itakua nawe mpaka mwisho wako hapa na huko tuendako, unasema kirahisi eti past is past.
 
Kupitia huu uzi, nimeanza kutambua ni kwa rates gani wanawake wa sasa almost zaidi ya asilimia 75% walishawahi kutoa Mimba.

Haya Mungu awanusuru na dhambi ya mauaji.
 
Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Aisee
 
Najaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......

Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....

Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.

Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
Mkuu mbona mimi siombi namba
 
Wanawake wengi tu hutoa mimba, ila hubaki na Siri moyoni, tena walioko kwenye ndoa ndio usiseme, so hapo sijaona kosa la kumwacha, hiyo ni mistake ya kawaida kwa wanawake ingawa wengi huficha hyo Siri.
Lakini amekiuka commitment kwa kucheat mara mbili akiwa kwenye mahusiano, halafu amekiri kwa kusema mwenyewe binafsi naona huyu kijana kafanya maamuzi sahihi tu.
 
Mtoa mada ni limbukeni wa mahaba na mchanga kwenye anga za wanawake an mapenzi. Wewe hujampenda kwa dhati, je alikueleza au ulielezwa na wengine, uhakika uliupataje au uliudhibitishaje? Mwisho nakueleza wewe sio muoaji tangu day one.
 
Najaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......

Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....

Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.

Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
Wanaume ni wabinafsi!!
 
Wanawake wengi tu hutoa mimba, ila hubaki na Siri moyoni, tena walioko kwenye ndoa ndio usiseme, so hapo sijaona kosa la kumwacha, hiyo ni mistake ya kawaida kwa wanawake ingawa wengi huficha hyo Siri.
Sio mistake ya kawaida, futa hiyo.
 
Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Kutoa mimba ni kujiwekea laana. Tena ametoa mara mbili.. Hiyo laana itamtafuna kizazi hadi kizazi.

Raha ale yeye huko, makombo ampelekee mwana.. Hatuungi mkono hilo swala
 
Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Huyo ni mama mwenye watoto 2 marehemu.
 
Back
Top Bottom