Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Akikujibu ni tag!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Tangu akiwa mwaka wa 1! Alikuwa ni miongoni katika moja ya madhebhebu ya kiimani ya chuo, wakati huo mimi nikiwa mwaka wa 3
Hao watoto wanaojifanya wanapenda sana kusali hua Wana matatizo sana...wanapewa mimba na viongozi wao wa kwaya....wakitoka hapo wanaenda kuoa watu wa sehem nyingine kabisa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wewe mwenyewe mkamilifu?. Tuanzie apo kwanza.
 
Next time amkia wakubwa zako kwanza kabla haujaeleza shida yako

pia pambana na maisha achana na mapenzi bado mtoto mdogo sana

hili suala halina hata ushauri sema utoto unakusumbua sumbua tu
 
Mara nyingi kuliko zote walio toa mimba ni makatilisana/wana cheat sana/ wagomvi/ gold digger /hawabembelezi ndoa/wako juu ya mme/utapigishwa desh mpaka ukome japo chakula umenunua weye!!

hata ndani ya ndoa ni ivo tuuu!! makatiliii Hasa! hasa! wanao anzia na majina km haya Jacky, Lina, Mariamu, Maggie Happy nk!! hwa utakula msoto/kifo mpaka ukome!! hata ukiugua hawajali!
 
Kwa walio pita chuo, kutoa mimba ni kawaida sana.
Hawa ndio wife material wa zama zetu
 
Kama alikucheat tayari mkiwa kwenye uhusiano piga chini huyo.. Shukuru sana kwa kuyajua hayo mapema na Omba MUNGU upate mwanamke mwingine mwenye uafadhari wa majanga make wote hawajakamilika kila mwanamke na mapungufu yake..

Ataombaje Mungu na bado yupo kwenye uasherati. Mungu hachanganywi jaman anakupatia sawasawa na wewe ulivojiweka.
 
Ni kweli masturbation Ni dhambi, ila inakuwaje mpaka inakiwa dhambi ya uaji?
 
Sasa hayo ni maisha yake na mzee, siyo maisha yangu mimi.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…