Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Huyo mnamhukumu kwa kuwa amekuwa mkweli na muwazi. Unajuaje huyo mpya akayekuja kumuoa yeye ametoa mimba ngapi? Ukitafuta mwanamke malaika wa kuoa, dunia hii hutaoa kabisa. Alikosea kama wengine na bado anaweza kuwa mke mzuri tu!
Labda ni kwako si kwangu, huyo malaika nitatafuta na nitampata.
 
Tangu akiwa mwaka wa 1! Alikuwa ni miongoni katika moja ya madhebhebu ya kiimani ya chuo, wakati huo mimi nikiwa mwaka wa 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sahihi, ni mtazamo wako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......

Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....

Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.

Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndyooooh.
 
Usimuoe mkuu, hiyo ni red light. Hujui maisha yake yalivyokuwa ulivyomwacha chuo, kakwambia mara mbili, you never know ametoa mara ngapi, au kalala na wangapi, hakujali hata kama kuna magonjwa yeye akala pipi bila ganda lake.
Ni kasoro sawa ila sio hizo ulizotaja za kutoa toa mimba, mtu wa hivi kwangu HANA NAFASI. SIWEZI KUOA BITCH! KWANGU NI MWIKO.
 
Mkuu hujawah kupga masterbation?? kama umewah bas nawe umeua watoto kwa namna tofaut
Enewei pole sanaa
 
Najaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......

Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....

Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.

Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
[emoji23]
 
Mkuu hivi hizi p2 hazina madhara kweri kwa wadada huko mbeleni?
Kiukweli kama Maji tu ambayo ni salama kwa Afya ukizidisha utaugua Je Kemikali yenye lengo la kuvuruga utaratibu mzuri wa Mwili...Zina Madhara

Dhambi Husamehewa pia makosa vilevile Lakini matokeo ya hayo yote hayatafutika.

Ni hayo tu Mkuu💪
 
Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Una mashetani? Yaan kutoa mimba sio issue? Amaa kweli kizazi cha nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…