Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Sikia longiiii mwambie jamaa akupe namba ufunge nae ndoa huyo mtoa mimba ili mkafanye hizo mind development.
Mkuu napata tabu kuweka hoja zangu badala ya Kujenga zako Unatoa Ushauri ambao Kimsingi ni Mzuri...Jitahidi kujibu unachoulizwa badala ya kutengeneza ubishani wa Kihisia.
 
Mkuu napata tabu kuweka hoja zangu badala ya Kujenga zako Unatoa Ushauri ambao Kimsingi ni Mzuri...Jitahidi kujibu unachoulizwa badala ya kutengeneza ubishani wa Kihisia.
Mkuu. Ushauri unaoelekea kusapoti utoaji mimba kidogo kwangu ni ngumu kuuelewa hata uwe mzuri kiasi gani. Tukubali kutokukubaliana tu.
 
Mkuu. Ushauri unaoelekea kusapoti utoaji mimba kidogo kwangu ni ngumu kuuelewa hata uwe mzuri kiasi gani. Tukubali kutokukubaliana tu.
Sijajua kama ulinisoma tokea mwanzo mkuu ndio maana sijakujibu vibaya popote.
Mimi sikubaliani na utoaji wa mimba isipokuwa pale tu itakapolazimika kufanywa hivyo kwa sababu za Kiafya.
Ninachopinga ni Sisi wanaume Kusimama upande wa kutoa HUKUMU Bila kufikiria kwamba Utoaji wa Mimba ni Process ndefu ya uvunjwaji wa maadili inayoanzia kwenye kusex kabla ya ndoa Kutokuwa mwaminifu nk
Ambapo kote huko sisi wanaume tunahusika moja kwa moja wakati mwingine tunawapa mpaka fedha za kutekeleza Azma hiyo....
 
Ebwana eeh..past is past,??

No strong reason, asalaleee, unaendaga hata nyumba za Ibada lakn.

Hiyo dhambi itakua nawe mpaka mwisho wako hapa na huko tuendako, unasema kirahisi eti past is past.
Imani zote Mungu anayo sifa moja Kuu HUSAMEHE NA KUSAHAU.

Wewe unaenda nyumba za ibada kila siku hili hukwahi kulisikia? Walikuambia Dhambi ni nini ? Kuna kipimo kwamba hii ni kubwa/ndogo? Je Adhabu yake.
 
Upo sawa.
 
Baba wa marehemu naye mpuuzi tu kama alishirikishwa kwenye hilo tendo.
Nimekaa nikatazama jamii ( Kwa asili nina maswali sana ) Nimezungumza na wasichana Pschologically wakaniamini Wakafunguka Wengi nimeona madhaifu yao lakini Sisi wanaume Tunaharibu jamii sana.

Mara nyingi mabinti wanakuwa na uhusiano na wanaume wakubwa kiumri na wakomavu kiakili lakini pia wasio tayari kwa majukumu. Tunawanyanyasa Kingono Kihisia na Kiimani.

Naamini wewe ni mtu mzima Jaribu kumfikiria sana mwanao wa kike ( Inaumiza )
 
Ni ushetani wa wanaume ni kweli.
 
Ni sahihi ila quote yako INA hang! Ni sawa na gari lisilojulikana linakwenda wapi. Hujam quote yeyote. Ujumbe ni mzuri ila nikusaidie tu kukuambia kuwa uelekeze kwenye mahali sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…