Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Sijutii uamuzi wangu
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekarini kwahiyo nyumbani kwetu tunaishi na mfanyakazi.
Hongera, Hongereni Back3 popote mlipo kwa kuwa chachu ya kudumisha ndoa nyingi ambazo bila uwepo wenu zisingedumu wala kuendelea kuwepo. [emoji123][emoji123]
 
Hongera, Hongereni Back3 popote mlipo kwa kuwa chachu ya kudumisha ndoa nyingi ambazo bila uwepo wenu zisingedumu wala kuendelea kuwepo. [emoji123][emoji123]

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app


Ni unyanyasaji mkubwa sana wa kijinsia wa watoto wa watu.

Mmekubaliana aje kufanyakazi kumbe baba mwenyenyumba unakuja kumtumia mtoto wa watu kwa tamaa na uovu wako?!

Je mwanao wa kumzaa akifanyiwa hayo utajisikiaje?

Ifike mahala mjifunze jinsi ya kuwa na kinyaaa na adabu.

Msiwe watu wa kula chochote mnachokaribiana nacho.

Muwe na kiasi na kujua kushiba.

Kuwa na kinyaaa nao ni aina ya ustaarabu.
 
Anapokuja kuja yaya kufanyakazi awekwe chini aambiwe Huyu ni baba yako na mama yako.

Mama Mwambie yaya kuwa asikubali kutumiwa na Mwanaume yoyote wa familia hiyo wala jirani.

Muoneshe kuwa ni mtu thamani na siyo mtu wa kutumiwatumiwa tu kingono .

Mama Mwenyenyumba ishi na yaya kwa upendo.

Mfanye shoga yako ili awe na wepesi wa kukupa Habari mpaka za sirini mapema.

Mtakuwa mnajikuta mnawachora tu wanaume wa familia wanavyojichanganya wote kumtaka house girl huyo huyo.
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekarini kwahiyo nyumbani kwetu tunaishi na mfanyakazi.
Cool down, Muombe Mungu. Jaribu kuwa kukaa na mumeo kwa karibu sana, au kama una dada au ndugu wa kike mwenye tabia njema, muite na upate muda wa kutosha kukaanae kupiga stori lakini zisihusu mambo ya mahusiano. Then mumeo awe part of that team ila si muda wote awepo nanyi. Then mpe muda, kila kitu kitakaa sawa as if nothing happened.

Then Hakikisha mumeo anakuwa ndiye rafik yako mkubwa sana kwenye mambo mbalimbali yakiwemo ya kipuuzi. Hakikisha akiwaza mambo mazuri anakumiss wewe, Akiwaza ujinga anamiss ujinga mnaofanya nae, akikutana na upuuzi anakumbuka upuuzi unaomfanyia. Yani muweke karibu kias kwamba hata mchapuko wake ukizingua anakuwa anatamani akusimulie wewe. Ukiweza haya, Umehinda Vita

Kuna wakati wanaume hatueleweki nini tunataka. Tusamehe bure. Mungu atusaidie
 
Kuna familia yaya analiwa na mume, watoto wa shemeji, garden keeper, dereva wa familia, mlinzi.

Sasa mume na watoto wa Shemeji ni ndugu halafu wote wanamkula house girl huyo huyo mmoja hamuoni ni mwiko huo?!
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekarini kwahiyo nyumbani kwetu tunaishi na mfanyakazi.
Acha kushika simu za watu bila ruhusa utakuja kufa siku siyo zako.
 
Huko selekarini umeajiriwa kama nani?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Chai kama Chai.
Umekaa uvunguni ulionaje kashika dudu
 
Kama kweli wewe ni Mtumishi wa Serikali na una uandishi wa hovyo hivi, huyo mume wako yupo sahihi kumtafuna huyo binti.

selekalini #### Serikalini/serikalini

Hujitambui ndio maana jamaa anakula mnato mnatoni!!!

Acha kulia lilia, hata huyo binti anapenda ze-utamu.

Kubali awe mke mwenza, vinginevyo mwache jamaa achape kazi ya kiutu uzima.
 
Pole

Inaonyesha wewe unafikiria watu watasemaje ukiwa hauna ndoa(kosa kubwa).. huyo he labda ana mimba.. na kuna uwezekano mkubwa wataendelea.. na pia atapanga wengine.

Hiyo takataka.. mimi ningeitupa ndani ya dustbin.. niendelee na maisha yangu.. sitajali imejulikana au la.. ningejijari mwenyewe kwanza..
 
Yaani kabisa mmekaa mnajadili hii Chai isiyo na Viungo!
 
haya mambo ni rahisi kuyapanga kama halijakukuta jambo ila ukikutwa ndoyaliyonitokea mie
habari za ma hg baba mwenye nyumba hapaswi kuingilia chochote

kuanzia kumtafuta, kumlipa na amri zote za ndani mwanaume hapaswi kuingilia

mwanaume anachotakiwa ni kupokea salamu tu na si kuongeza neno la pili
 
Umekaa uvunguni mwa kitanda alafu unamuona mume wako ananyonywa dishe sasa uliona vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…