Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kuchepuka hapa sio case kabisa. Ishu iyo ya pili.Hapo sasa kuna mawili, kwanza anachepuka, pili anapenda kinyume na maumbile. Inahitaji maongezi ya busara sana ili akuelewe. maana huo ni ulevi mbaya sana..