Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Sio mara ya kwanza ndugu. Niliwahi kumkamata na sms za kumuomba mwanamke hiyo kitu nikashangaa na kumsema sana lakini ameendelea.inaniuma sanaa
Umefuma txt akiwa anaomba tigo kwa mwanamke mwengine lakini ulichokasirika ni yeye kuomba tigo na si kukuta sms akiwa anakuchiti?
 
Mtu akiomba ushauri kuhusu ndoa yake, ni vyema tusishauri lolote maana anataka tu lile wazo alilonalo kichwani liungwe mkono na wengi, na hata lisipoungwa mkono atafuata anachoona sawa kwake, hata tukitoa ushauri mwezi mzima.

Muhimu, mwanandoa yeyote hufanya maamuzi anayoona sahihi kwake na mustakabali wa ndoa yake bila kushirikisha yeyote.

Utasikia tu, "nimeamua kumsamehe mume/mke wangu tulee watoto", "tumeachana na mume/mke wangu".
 
Nikusahuri mwanaume anae fira Kuna mambo yafatayo uwa yamejiri kwake
Kwanza ni mtu anae amini uchi wa mke wake au awala Ake umetanuka sana Kwa msingi huo unakuta atafuta pa kumbana,mkiwa mnajamiiana akikisha umebana mapaja Ili umbane. Aise kitu Iko Tait.

Tatu ni Pepo limemuingilia Iko siku anakooingiza na yeye atatamani aingiziwe,hapo atakutana na wastaafu kama sisi tunakulagaaaa imba hako kanyimbo dada
Kumbe nawe huwa unatamani kuf**wa baada ya kuwa unawala wenzio sababu ya pepo ulilonalo [emoji848][emoji1784]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Sio mara ya kwanza ndugu. Niliwahi kumkamata na sms za kumuomba mwanamke hiyo kitu nikashangaa na kumsema sana lakini ameendelea.inaniuma sanaa
Sasa si ushukuru anawala.
Kuliko angeliwa yeye hayo makalio yake magumu yenye vinyweleo.
Ila tukirudi kwa ndoa kumkamata mwanaume na usipochukua hatua maana yake umehalalisha.
Sasa jiandae na wewe kuombwa tigo au kufanywa kwa lazima.
 
Habari, nimegundua kuwa mme wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, shauri wa kujenga tafadhali sio kejeli.

Asanteni.
Unaomba ushauri lkn hauko tayari kutoa taarifa zanazoekeweka. Swali liko hivi.

Anafanywa yeye?
Anawafanyia wanawake wengine?
Au anawafanyia wanaume wenziye?

Jibu hapa kwanza usaidiwe
 
Unakuta mtu na magari unadhani aliyapataje,

Hizo ndo ndoa za kukimbilia mali, unachumbiwa leo kesho harusi, hujamsoma mtu.

Pambana na hali yako.
 
kuna braza wangu wa mtaani alinihadithia alikuwa na rafiki yake ameoa Sasa yule rafiki yake akawa anamuomba huo mchezo mkewe .mkewe alipoona fujo zimezidi akamtafuta yule rafiki yake akamwambia rafiki yako ananiomba huo mchezo naomba umkanye.
Yule braza aliniambia alishikwa na ganzi kwanza maana ni Jambo zito.ila alimuita rafiki yake na kumsema na kuahidi hatorudia Tena.
Kikubwa kuwa na msimamo ukiona anazidi mpeleke kwa wazazi wake ukishindwa unaruhusiwa kudai TALAKA.
 
Huu uongo. Ataombaje vitu kama hivi kwenye simu? Na kama ni kweli wala huhitaji kumuacha mumeo kwa ajili ya hilo, muache kwa kuwa hata akili timamu
Inawezekana kabisa. Na kuna wanawake ili aonyeshe amekukubali mtaro wa maji taka ndio zawadi kubwa kwao. Huyo hawezi acha hiyo tabia ameshanogewa.
 
Back
Top Bottom