Kuchepuka hapa sio case kabisa. Ishu iyo ya pili.Hapo sasa kuna mawili, kwanza anachepuka, pili anapenda kinyume na maumbile. Inahitaji maongezi ya busara sana ili akuelewe. maana huo ni ulevi mbaya sana..
Wa kufa na kuzikanaWa nn Sasa Mpaka hapo?
🤣🤣Haya bhanaWa kufa na kuzikana
Hiv facebuk ndio kwa wajinga?Huo
Huu ujinga si ungebaki nao Facebook uko,skunk
Walimwengu kwakwel wamevurugwa sana dunia ya leo..Imagine mtu wa namna hiyo sijui siku nzimananaweza kua anashinda akiwaza nini kichwan🤣🤣Haya bhana
Aisee...Kuchepuka hapa sio case kabisa. Ishu iyo ya pili.
Huyo ana tabu...Huu Sasa Ni zaidi ya ugonjwa wa akili
Hapa hata milembe watakukataa
Bado hujatia nyama za kutosha unataka ushaur ganiHabari, nimegundua kuwa mme wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.
Naombeni mnishauri, shauri wa kujenga tafadhali sio kejeli.
Asanteni.
Halafu akipewa huko nje hiyo kitu,akirudi nyumbani anataka umpe blowjob,tunakosaje cancer za Koo Sasa............ pumbavu zake kabisa!Sio mara ya kwanza ndugu. Niliwahi kumkamata na sms za kumuomba mwanamke hiyo kitu nikashangaa na kumsema sana lakini ameendelea.inaniuma sanaa