Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Weka usuliHabari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.
Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.
Asanteni.
Analiwa
Anataka kukukula?