Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

Najua atakuwa kafunga uchumi wako kwa kutumia nyota yako, sasa ukishamgundua mpuuzi wa namna hiyo wala usimwamshe, cha kufanya, jiaminishe kwake upate mtaji hata kwa kumuomba kidogokidogo, sasa ukishakamilisha unamwambia nimepata kazi kiwanda ama sehemu flani kama ni unaish Dar nenda Mwanza kaanze maisha yako, pitia mahala ukatibiwe.

KUKAA KARIBU NA ADUI YAKO NI KUMPA UHURU WA KUKUFANYA LOLOTE ATAKALO... ATAKUUMIZA
 
Hapana ..mimi japo ni mswahili ila pia ni msomi na najielewa vizuri tu.. hili jambo ninefanya investigations za kutosha kabla ya kuliamini
Usiamini ushirikina wewe
 
Najua atakuwa kafunga uchumi wako kwa kutumia nyota yako, sasa ukishamgundua mpuuzi wa namna hiyo wala usimwamshe, cha kufanya, jiaminishe kwake upate mtaji hata kwa kumuomba kidogokidogo, sasa ukishakamilisha unamwambia nimepata kazi kiwanda ama sehemu flani kama ni unaish Dar nenda Mwanza kaanze maisha yako, pitia mahala ukatibiwe.

KUKAA KARIBU NA ADUI YAKO NI KUMPA UHURU WA KUKUFANYA LOLOTE ATAKALO... ATAKUUMIZA
Yani uchumi ndio kaufunga, nakumbuka Mimi nilikuwa nikipata kazi tu akijua kazi inaisha, alafu akawa anajifanya kunisaidia ila pesa zake ni za kichawi zinaisha haraka huwezi fanyia kitu...
 
Najua atakuwa kafunga uchumi wako kwa kutumia nyota yako, sasa ukishamgundua mpuuzi wa namna hiyo wala usimwamshe, cha kufanya, jiaminishe kwake upate mtaji hata kwa kumuomba kidogokidogo, sasa ukishakamilisha unamwambia nimepata kazi kiwanda ama sehemu flani kama ni unaish Dar nenda Mwanza kaanze maisha yako, pitia mahala ukatibiwe.

KUKAA KARIBU NA ADUI YAKO NI KUMPA UHURU WA KUKUFANYA LOLOTE ATAKALO... ATAKUUMIZA
Yan kanitia nuksi sasa yeye hana maisha yoyote mimi ndio naisaidia familia nzima.. mpaka pesa ya kula mimi ndio nampa. Nimechoka kisa ni kirefu na kinasikitisha napitia magumu sana
 
Najua atakuwa kafunga uchumi wako kwa kutumia nyota yako, sasa ukishamgundua mpuuzi wa namna hiyo wala usimwamshe, cha kufanya, jiaminishe kwake upate mtaji hata kwa kumuomba kidogokidogo, sasa ukishakamilisha unamwambia nimepata kazi kiwanda ama sehemu flani kama ni unaish Dar nenda Mwanza kaanze maisha yako, pitia mahala ukatibiwe.

KUKAA KARIBU NA ADUI YAKO NI KUMPA UHURU WA KUKUFANYA LOLOTE ATAKALO... ATAKUUMIZA
Yes maana imeandikwa "Adui Yako ni wa karibu yako" adui wa karibu yako anakua anakujua vizuri sana..sasa hapo ni kuhama kabisa..kuwa nae mbali ukifika huko fanya vyovyote utolewe huo uchawi alokutupia wa nuksi kwa imani yako e.t.c anza maisha mapya
 
Back
Top Bottom