Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

oooh !! kumbe.

Sema neno kwenye jambo hili...

Kuna hali huwa inawatokea walio wengi na wengi wakiisimulia...
Ukiwa umelala kuna muda unatokea kubanwa na kitu kinakua kama kimekukandamiza hasa eneo la kufua unakua hupumui vizuri,
unakua huwezi kupiga kelele wala kusogeza kiungo chochote kisha baada ya sekunde chache hiyo hali inakuachia ..
inasemekana hasa ukiwa umelala chali ukiwa kwenye utulivu hufikirii chochote katika conscious mind yako na kausingiz kanaanza kukupitia ndio wengi wanakutana na hali hiyo gafla.

Vip unaelewa ni kwanini, imewah kukukuta ?
Kama hii?

View: https://youtu.be/O1pOQekJ_Js?si=E218v6MCAuW1wj_S
 
Watu wanaamua waote kipi, Unalijua hili ?
"Prior to sleep" kile unachokiwaza dakika hizo ndio hicho utaondoka nacho.
Neville Goddard.
Shida ni kuwa
1.watu hatuchagui tuwaze nini.
2. Ndoto Zina random plots isiyo na direction.
3. Hivyo looping recording inasaidia kuidirect ndoto kustick kwenye mada moja.
 
Safi sana Kiongozi Publish hii na Ikiwezekan kam una kipato kizuri Uinunulie na Hati miliki kabisa Asije akatokea Mzungu mmoja huko Akasem Ni utafiti wake na Akalipwa mabilion kibao.
Hakuna uwezekano wowote wa Mimi kufaidika kwa hili, Hivyo akijitokeza mzungu akaikuza idea Godspeed kwake hata akiichukua sawa tu.
Furaha yangu ni knowledge kuenea.
 
Shida ni kuwa
1.watu hatuchagui tuwaze nini.
2. Ndoto Zina random plots isiyo na direction.
3. Hivyo looping recording inasaidia kuidirect ndoto kustick kwenye mada moja.
Mzee kuhusu kuwaza inategemea Attic yako umeijaza vitu gani Mana hivyo ndio Vita filter kila kiingiacho kwa kuzingatia pattern zake.
Kuna mtu mjuu kakuambia kuhusu Spiritual..... Usimpuuze.
 
Back
Top Bottom