sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Nitaandika...!!
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaandika...!!
Subconscious
Superconscious...
Hizo level mbili ni za kibabe.
Umejaribu na kueleza jinsi ya ku direct ndoto ambazo zenye asili ya ku play back mambo yenye mjumuisho wa siku nzima. Ambazo based on inputs za siku husika au zile zilipita.
Kuna sombdy humu aliwahi pia kuongelea jinsi ya kuziongoza ndoto zako. Ila hizi ndoto zipo za aina nyingi kulingana na Source.
1. Work of mind. Ambapo kila information unayo iona na kuisikia ,hata kama ilikuwa miaka saba iliyopita. Our brain inaweza ikahifadhi kitu hata utachi kion kwa mara moja tu kikakaaaa. Sema jinsi ya kuki retrieve ndio maarifa ya conscious yamekwama. Wapo wanao weza na ndio tunaona wana kumbukumbu au geniuses. Ila wapo wanaoamin wana shida ya memory basi wanausemesha ubongo kuwa hii taarifa ipuuze weka ktk recycle bin. Sasa ndoto za Work of the mind unaweza kuziongoza kila hisi kabisa kwa method ya kucheza na input.
2. Ndoto za asili ya kiroho kabisaaa. Purely spiritual. Tukumbuke sisi ni roho tulio vaa miili. Na kuna roho zingine like Angels walio umbwa na kuwa assigned kabisa kufanya task zetu,kutusaidia na kutu tumikia. Usipo wapa task ya kufanya wanaboreka.
So unapo ingia ktk deep thinking, kitacho gusa hisia zako za ndani kabisa, moyoni mwako, hapo unaingia ktk masafa ya kiroho. Deep thinking wengine wanaipata kwa Chanting ( Maneno ya kurudia rudia). Wengine maneno ya kuambiwa, kama Hivyo recording zako unazo zitumia, ni kama chanting. Ambapo una activate masafa ya Rohoni na unaingia ktk actions.
Mimi nikitafakari jambo sana, nikionyesha concern basi nnapata majibu haraka sana tena kama ktk ndoto au thoughts za muda huo huo. Na kuna muda unaweza pata matokeo,ambayo unashindwa kujua hizi mbinu nimejifunza wapi. Hata Déjà Vu zinatokea humo.
Tunapolala roho zetu zina jimwaya ktk natural state yake ya haina mpaka wa muda, mazingira nk. Ukiruhusu itaweza kukuonyesha mengi inayo observe, kuanzia yaliyo tokea zamani, wanayo fanya watu muda huoo au hata kuweka ushirika na roho zingine ( Viumbe vingine vya rohon na kuja kulink na Conscious yako).
Ukifanya kila siku utakuwa unaishi ktk conscious sana, na mengine latest ya rohon ambayo roho yako inataka ku fetch utakuwa unayakosa. Mbali na recordings pia unaweza kufanya yafuatayo
1. Jiulize maswali wewe, binafsi kuhusu mambo yako, wewe ni nani, nini nataka, jambo gani ni muhim sana kwangu ktk majira haya, watu gani niwatoe etc Onyesha concern ktk hayo maswli connect vyema utapata majibu.
2. Tumia peni na karatasi. Mimina nafsi yako, sema yale unawishi, tafakari kama karatasi, kama unaona mind yako inatawanyika ukiwa unafikiria hewani hewani.
3. Unaweza omba msaada kwa MUNGU,muombe akufunilie kitu fulani, ongea kama unavyoongea na rafiki Yako. Ukiamini kuwa yupo Pembe yako, yaaani vyovyote vile lakni ukiamini kuwa yuko anakusikia na ukiomba tegemea anafanya.
NOTE
*Usiwe mtu wa kuchezea Simu nusu saa kabla ya kulala.
* Asubuhi usikurupuke kutoka kitandani, tulia hapo until consciousness yako ichukue ya ndotoni, otherwise Fwaaaaa yameenda.
*Usikurupuke kuchezea simu wkt wa kuamka, amka. Nenda jiandae, vaa. On your way out ndio unaweza chezea simu ( sio ngumu ukitaka).
* Usiamshwa na alarm ya simu,anza ku practice kujiambia nataka kuamka saaa fulani utaamka.
Lete madini tuko pamojaNamna yangu ya kuandika ni kuwezesha UFAHAMU kupatikana ili kufanya maisha kuwa Rahisi.
Na hii ni kupanua uelewa wa kwamba Sisi WANADAMU NI KITU GANI HASA!
Utakuta kwa vile kuna Elimu nyingi ziko kwa Mafumbo basi mahangaiko ni makubwa sana!
Lakini kadiri siku zinavyoenda Elimu inatusogelea na tunapata UFAHAMU walau sahihi na kupelekea kutafsiri maisha ndani ya UELEWA MPANA.
Maandishi bado yatakuwa mafupi lakini yatagusa Topic ya Kujitambua moja kwa moja!
SCIENCE ITAHUSIKA.
Baada ya SCIENCE utakutana na kitu watu wanachokiita Imani au Dini lakini ukweli ni kwamba SCIENCE imetafsiri kila kitu vizuri na mwisho wake na kwa Sababu matokeo ya SCIENCE ni Magnificent na inapelekea SCIENCE kupata majawabu ya ninani Author wa maajabu yote haya basi ndipo tunaishia kuamini kwamba kuna MASTER!
DESIGNER
MUNGU!
Liko neno muhimu sana ningetamani tuanze nalo..
ENERGY.
DEFINE ENERGY....
ENERGY is anything which can not be created neither nor destroyed...na zikafuata theories nyingi hapo!
Kitendo ya kwamba hakuna mtu mwenye uwezo wa kuumba ENERGY NA WALA HUWEZI KUIANGAMIZA...tayari huu ni ufunguo...
Ebu twende tena mbele kidogo...
MATTER.
DEFINE MATTER.
MATTER is anything which ocupies space and has weight!
Sasa kuanzia hapo yafaa tujitafute kama ifuatavyo...
An individual is a MATTER at which is CREATED INSIDE A BINDING ENERGY WHICH IS SPIRIT.
Kwa hivo BINADAMU NI MATTER ILIYOKO KWENYE MAGNIFICENCE IITWAYO-Roho-SPIRIT.
MAGNIFICENCE called SPIRIT!
ROHO ILIKUWEPO,IPO NA ITAKUWEPO DAIMA!
Kumbe basi MWILI TULIOKO NAO NI MATTER au kwa lugha rahisi ni UDONGO AMBAPO WAKATI FULANI UDONGO HUU UTACHAKAA NA KUACHA ROHO KWENDA ZAKE!
So actually there is no point of Dying but rather WEAERING OF THE BODY INSIDE THE SPIRIT!
Mwili huchakaa na kuacha ROHO kuendelea kuishi under several other Evolution processes!
SASA
ENERGY as we started said it earlier-Iko kwenye products nyingi...
Kwetu sisi wanadamu nitaongelea Body ,Mind and SPIRIT...
Kilichoko kwenye Mwili ni ule muundo wa mwanzo wa Mwanadamu yaani Cells,Tissue,Organs,Systems na MTU KAMILI.
Nitachukua kiungo kimoja tu hapa ambacho ni UBONGO...ama Mfumo wa UFAHAMU ambao kazi yake kubwa kabisa ni kutafsiri mpango sahihi na mkamilifu wa ROHO YAKO KAMA ILIVYOKUWA SABABU YA MWANADAMU KUZALIWA...the PURPOSE OF LIFE OF AN INDIVIDUAL...
Katika Mchakato huo ndiposa utakutana na NGUVU YA NENO AMBALO LITATOKANA NA UWEZO ULIOKO NDANI YAKO!
A word is a power of enabling things to happen...
A word can Create or Destroy...
A word is a product of a THOUGHT..
A THOUGHT IS A PRODUCT OF A SPIRIT!
Mpaka hapo kwanza......
Hii ipo sana mkuu. Mimi kuna sala huwa nazi recite (but silently) kila niamkapo au niwapo njoani. Sasa hutokea siku maneno fulani yanafutika tu akilini. Nasubiria ila sikimbiko. Basi huwa naruka hapo kwenda mbele, lakini baadae au mara tu maneno hayo huja tena kwa usahihiShukrani mkuu...
Kwa nyongeza, Ulishawahi kusahau jambo fulani mfano jina la mtu fulani au kitu fulani au msamiati fulani, ukakaa ukafikiria Yani unaona kama linakuja linapotea...ukafikiria mpaka ukakata tamaa.
Halafu baadae kabisa umeshasahau hata kama ulikuwa unafikiria hiko kitu unashangaa jibu linakuja lenyewe kichwani?
Hapo kilichtokea ni kuwa conscious mind (ufahamu wa kawaida) ilishindwa kupata jibu ikamuachia subconscious mind aendelee kupekua kwenye mafaili yake. Alipopata jibu ndio akakuletea.
*Hiki kitu kimenitokea kama dakika kadha zilizopita, nilikuwa najaribu kukumbuka jina la ID ya member fulani ikawa haiji, ila nilipomaliza kutype huu Uzi nashangaa jina likaja lenyewe kichwani wakati nilikuwa hata sifikirii Tena na nlkuwa nishasahau.
Nina maswali hapa:Subconscious
Superconscious...
Hizo level mbili ni za kibabe.
Umejaribu na kueleza jinsi ya ku direct ndoto ambazo zenye asili ya ku play back mambo yenye mjumuisho wa siku nzima. Ambazo based on inputs za siku husika au zile zilipita.
Kuna sombdy humu aliwahi pia kuongelea jinsi ya kuziongoza ndoto zako. Ila hizi ndoto zipo za aina nyingi kulingana na Source.
1. Work of mind. Ambapo kila information unayo iona na kuisikia ,hata kama ilikuwa miaka saba iliyopita. Our brain inaweza ikahifadhi kitu hata utachi kion kwa mara moja tu kikakaaaa. Sema jinsi ya kuki retrieve ndio maarifa ya conscious yamekwama. Wapo wanao weza na ndio tunaona wana kumbukumbu au geniuses. Ila wapo wanaoamin wana shida ya memory basi wanausemesha ubongo kuwa hii taarifa ipuuze weka ktk recycle bin. Sasa ndoto za Work of the mind unaweza kuziongoza kila hisi kabisa kwa method ya kucheza na input.
2. Ndoto za asili ya kiroho kabisaaa. Purely spiritual. Tukumbuke sisi ni roho tulio vaa miili. Na kuna roho zingine like Angels walio umbwa na kuwa assigned kabisa kufanya task zetu,kutusaidia na kutu tumikia. Usipo wapa task ya kufanya wanaboreka.
So unapo ingia ktk deep thinking, kitacho gusa hisia zako za ndani kabisa, moyoni mwako, hapo unaingia ktk masafa ya kiroho. Deep thinking wengine wanaipata kwa Chanting ( Maneno ya kurudia rudia). Wengine maneno ya kuambiwa, kama Hivyo recording zako unazo zitumia, ni kama chanting. Ambapo una activate masafa ya Rohoni na unaingia ktk actions.
Mimi nikitafakari jambo sana, nikionyesha concern basi nnapata majibu haraka sana tena kama ktk ndoto au thoughts za muda huo huo. Na kuna muda unaweza pata matokeo,ambayo unashindwa kujua hizi mbinu nimejifunza wapi. Hata Déjà Vu zinatokea humo.
Tunapolala roho zetu zina jimwaya ktk natural state yake ya haina mpaka wa muda, mazingira nk. Ukiruhusu itaweza kukuonyesha mengi inayo observe, kuanzia yaliyo tokea zamani, wanayo fanya watu muda huoo au hata kuweka ushirika na roho zingine ( Viumbe vingine vya rohon na kuja kulink na Conscious yako).
Ukifanya kila siku utakuwa unaishi ktk conscious sana, na mengine latest ya rohon ambayo roho yako inataka ku fetch utakuwa unayakosa. Mbali na recordings pia unaweza kufanya yafuatayo
1. Jiulize maswali wewe, binafsi kuhusu mambo yako, wewe ni nani, nini nataka, jambo gani ni muhim sana kwangu ktk majira haya, watu gani niwatoe etc Onyesha concern ktk hayo maswli connect vyema utapata majibu.
2. Tumia peni na karatasi. Mimina nafsi yako, sema yale unawishi, tafakari kama karatasi, kama unaona mind yako inatawanyika ukiwa unafikiria hewani hewani.
3. Unaweza omba msaada kwa MUNGU,muombe akufunilie kitu fulani, ongea kama unavyoongea na rafiki Yako. Ukiamini kuwa yupo Pembe yako, yaaani vyovyote vile lakni ukiamini kuwa yuko anakusikia na ukiomba tegemea anafanya.
NOTE
*Usiwe mtu wa kuchezea Simu nusu saa kabla ya kulala.
* Asubuhi usikurupuke kutoka kitandani, tulia hapo until consciousness yako ichukue ya ndotoni, otherwise Fwaaaaa yameenda.
*Usikurupuke kuchezea simu wkt wa kuamka, amka. Nenda jiandae, vaa. On your way out ndio unaweza chezea simu ( sio ngumu ukitaka).
* Usiamshwa na alarm ya simu,anza ku practice kujiambia nataka kuamka saaa fulani utaamka.
Yesu mwenyewe alikuwa anafanya meditation FYIKazi nzuri, mwanzo mzuri
Ila mimi nina swali moja la kuongeza ufahamu.
Wewe niwa Allah au Yesu Kristo ?
au
are your a Christian, Muslim or Pagan ?
Meditation siku zote Lazima ikuweke karibu na Imani yako.
Ok mkuuNatafuta muda nijiandae kulifanyia hili jambo research alafu nitarudi na majibu hapa