Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

Kama hii?

View: https://youtu.be/O1pOQekJ_Js?si=E218v6MCAuW1wj_S
 
Watu wanaamua waote kipi, Unalijua hili ?
"Prior to sleep" kile unachokiwaza dakika hizo ndio hicho utaondoka nacho.
Neville Goddard.
Shida ni kuwa
1.watu hatuchagui tuwaze nini.
2. Ndoto Zina random plots isiyo na direction.
3. Hivyo looping recording inasaidia kuidirect ndoto kustick kwenye mada moja.
 
Safi sana Kiongozi Publish hii na Ikiwezekan kam una kipato kizuri Uinunulie na Hati miliki kabisa Asije akatokea Mzungu mmoja huko Akasem Ni utafiti wake na Akalipwa mabilion kibao.
Hakuna uwezekano wowote wa Mimi kufaidika kwa hili, Hivyo akijitokeza mzungu akaikuza idea Godspeed kwake hata akiichukua sawa tu.
Furaha yangu ni knowledge kuenea.
 
Shida ni kuwa
1.watu hatuchagui tuwaze nini.
2. Ndoto Zina random plots isiyo na direction.
3. Hivyo looping recording inasaidia kuidirect ndoto kustick kwenye mada moja.
Mzee kuhusu kuwaza inategemea Attic yako umeijaza vitu gani Mana hivyo ndio Vita filter kila kiingiacho kwa kuzingatia pattern zake.
Kuna mtu mjuu kakuambia kuhusu Spiritual..... Usimpuuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…