Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto


[emoji120][emoji120][emoji120] Thank you so much Mkuu
 
Lete madini tuko pamoja
 
Kasome tena ubongo oarts zake n jinsi xinavyofanta kazi. Soma vizuri consciousness. Soma kuhusu memory.
Soma kuhusu language developnent from infant stage to adult.
Soma kuhusu dream .
Then uje ulinganishe na andiko lako.
Kamsokilize Sadh guru. Guru wa kihindi ameeleza vizuri saba aina za memory.
Nimesema hivibkwa sababu kuna nambo umeendika kwa sababu ya ombwe.
Mfano maneno hayatoki from no where bali yanatoka katika kumbukumbu.
Wanasaikolojia wanatuambia kuwa lugha huanza kujengwa na schema.
Schrna hujenga maumbo.
Nsumbo huusianisha na maneno.
Maneno hujenga sentensi ba sentensi huunda mazungumzo au habari.
Kama kuna wakufunzi humu wa saikolojia ta skili au ubongo wanaweza eleza vizuri.
Kwa hio mantno hayaongewi ftom no where but ftom programmed part of brain.
Unaongea kingereza kwa ababu kuna sehemu ya ubongo imewejewa memory ya kingereza ie fed with data. Habksna hujalishwa data zozote hutaweza kuongea chochote.
Jambo hili ni very complicated, usiliongelee kiju juu tu, pitia maandiko mengi kila nyanja ili uje na article ambayo ni scholarly article sio common sense article amvayo ina vacuum kutokana na jaarifa yaliopo.
Nimegusia sehemu moja tu ya kupanga sentensi, mengine nawaachia wanasaikolojia.
 
Hii ipo sana mkuu. Mimi kuna sala huwa nazi recite (but silently) kila niamkapo au niwapo njoani. Sasa hutokea siku maneno fulani yanafutika tu akilini. Nasubiria ila sikimbiko. Basi huwa naruka hapo kwenda mbele, lakini baadae au mara tu maneno hayo huja tena kwa usahihi
 
Bryan Adams katika kitabu chake cha how to succeed ameelezea vizuri sana kuhusu hizi conscious mind zinavyofanya kazi. Mkuu February Makamba uzinwako ni mzuri kwa watu wanaopenda kujifunza.
 
Bado hamjanijibu swali langu how to use that mind to win sport betting
 
Nina maswali hapa:
Umesema usiwe mtu wa kuchezea simu nusu saa kabla ya kulala,kwanini?
usikurupuke kuchezea simu wakati wa kuamka,why?
hayo mawili niliyaruka hapo kwenye NOTE yako ninayapractise na yanafanya kazi vizuri sana,eg.hilo hapo chini limenitokea leo,ingawa sio mara ya kwanza,nilipanga leo kuamka saa 11 asubuhi kwa ajili ya mazoezi,ingawa alarm yangu nimeset saa 12 asubuhi,ilipofika saa 10:54 nikashtuka na nikaenda kwenye mazoezi kama nilivyopanga,NA kwa hilo lingine ni kuwa,huwa ninaposhtuka tu,kitu cha kwanza ninachokufanya ni kuwaza nimeota ndoto gani,hii hainichukui hata sekunda 20 ndoto itanijia na nina utaratibu wa kuziandika,lkn nikiamka na kuanza kuwaza vitu vingine siwezi kabisa kukumbuka niliota nini,au nitakumbuka vipande vipande ambavyo siwezi kuviunganisha......
 
Kazi nzuri, mwanzo mzuri

Ila mimi nina swali moja la kuongeza ufahamu.

Wewe niwa Allah au Yesu Kristo ?
au
are your a Christian, Muslim or Pagan ?

Meditation siku zote Lazima ikuweke karibu na Imani yako.
Yesu mwenyewe alikuwa anafanya meditation FYI
 
Mimi bhana nashangaa sana ndoto inaweza kuja na katk kuamka sekunde au hata dakika moja nikawa Niko najua nnchoota mpk kinaishia kiundani ni Kam naunganishw na brain ..hali hii ikoje Wandugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…