Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

Trump yupo sahihi , Changamoto zinazoendelea zote duniani zimesababishwa na MTU mweusi.
 
Elimu Elimu Elimu
Wakenya pia kuna masikini, lakini wana elimu, ndio maana hawakubali kupelekeshwa, wao any time wanakiwasha wakiona viongozi wanaleta pumba
Huku kwetu, masikini hawana elimu, sababu elimu ya huku ni kukariri sio kuelimika na kujua haki yako
 

Karibu Sana MKUU.

Mimi naandika mambo mengi ya kijamii hivyo sio rahisi kujihusisha na Jambo Moja.
Ingawaje mahusiano ndio mzizi Mkuu maana najua shida ya Maisha ya Mwanadamu huanzia huko
 
Nimekuuliza swali unajua Sera ya Trump inahusu nini Mkuu?

Trump Sera yake ni Make America Great again (MAGA) Unajua maana yake hiyo?
Jambo lolote ambalo Halina maslahi makubwa na Marekani Trump jicho lake lazima litazame.
Ahahahahaha! Kwahiyo kumfukuza Mkuu wa Majeshi ni MAGA? Kuwanyima haki za kupata National Security Briefings watu wenye haki hiyo kikatiba ni MAGA? Basi nimekuelewa Mkuu!!
 

Sahihi
 
Ahahahahaha! Kwahiyo kumfukuza Mkuu wa Majeshi ni MAGA? Kuwanyima haki za kupata National Security Briefings watu wenye haki hiyo kikatiba ni MAGA? Basi nimekuelewa Mkuu!!

Trump kumfukuza Mkuu wa Majeshi kuna kifungu cha Katiba amevunja?

Mkuu hivi unajua hii Mada inazungumzia Jambo gani?

Unajua hapa nazungumzia Watanzania wote Mpaka ndugu wa viongozi wa taifa Hili?
 
Umeongea fact mkuu, ubarikiwe sana.
Hebu watanzania wwajielewe kwa kweli, yani wamekaa kama mahayawani[emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…