Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

Kila mtanzania anadai watanzania ni wajinga maskini na wapole je hao watanzania ni kina nani ? Natamani siku moja niwaone🤔
 
Fact 100%
 
 

Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Kuna jamaa alitukuta bank tumepanga foleni halafu teller wanapiga soga tu na kuchati, sisi wengine tumetulia tu na kukubalia na hali dah alikuja mwamba mmoja akasema hovyo sana pale bank nikaona teller wote wamekuwa active huku wamekunja midomo na jamaa alihudumiwa haraka akatokomea zake na kutuachaa na ujinga.

Jamaa hata mzigo aliotoa inaonekana ni mkubwa ile confidence na power inaonekana imeletwa na financial stability aliyokuwa nayo.

UKO SAHIHI..
 
Hata CCM wanautumia huu unyonge unaoletwa na umasikini kuendelea kuwatawala watanzania dhaifu.
 
UPUMBAVU wa watanzania wanazaliwa nao pia wanafundishwa shuleni, majumbani na hata mtaani,... fikiria tu mwalimu anaweza mpa adhabu mwanafunzi kwa kosa ambalo mwanafunzi halitambui, LAKINI mwanafunzi akijaribu kuhoji ni kwanini anapewa adhabu, ataambiwa huyu HANA ADABU, ANAJITIA UJUAJI ,...sasa ngoja tumwonyeshe,.....

Vivo hivyo pia mtaani utasikia mkubwa sio muongo wala haojiwi, 😠😠

Na hii ndo sababu hata walimu wenyewe wamebaki kama misukule kwa vimishahala kiduchu, hawawezi kuhoji ni kulia kimya kimya na kusifu kwa SAUTI KUBWA,.... teachers🙌🙌🚮🚮🚮

ukija mtaani, liJINGA lingine unalikuta linalipishwa hela ya maendeleo, huku barabara za mtaani kwake ni mbaya, zahanati ya hovyo na vifaa hamna wala madaktari, dawa linanunua dukani tena kwa kuelekezwa na dokta wapi likanunue🙃, likihoji linatishwa na mgambo🤣🤣😂

Na bado ukijaribu kuhoji kazi ya KODI tunazolipa, MAJINGA yanaibuka kuitetea serikali kuwa ina mambo mengi ya kufanya hivyo ni vyema wananchi tuchangie, linasahau kuwa lina lipa mpaka TOZO tulizoambiwa zitajenga MASHULE KILA KONA YA NCHI😳😳......
kila mwaka majinga yanafanya kazi ya kuchanga hela,na KUBEBWA kama MANGURUWE kwenda kufanyishwa kazi za maendeleo, ilihali yanalipa kodi na tozo juu, 🥲huku hayana maji, barabara,umeme wa uhakika, wala shule nzuri......MAJINGA YAMENISHINDA TABIA🙌🙌🙌🚮🚮
 

Hatari Sana Mkuu
 

Yeah. Ukiwa na pesa na kujiamini kuna ongeza kujiamini
 
Huu ni uzi wenye akili
Akili wapi bwana, kuna matanzania yamebobea kwenye kuropoka, hebu liulize lenyewe limefanya nini kudhibiti huo ujinga? Halina majibu! Kinachotusumbua ni uchawa wa wasomi wetu! Yeye mwenyewe akipewa shavu hapo ataanza kusifu na kuabudu! Hivi kulikuwa na mpinzani kama Polepole, Kafulila, Zitto, Mtatiro, and the like? Unawasikia wanavyosifia sasa hivi?
 
Ulofa unazubaisha sana ndugu zangu.
Lofa hana roho nzuri wala mapenzi, ni vile tu hana options.

Ukiona tunaopambania Uhuru wa Kiuchumi na utawala bora ni wale ambao wanaondokana na Ulofa tu
 
Umechagua lililojema. Mungu atakubariki
 
M
waalimu wa degree hakuna anaelipwa laki 3
 
Kila mtanzania anadai watanzania ni wajinga maskini na wapole je hao watanzania ni kina nani ? Natamani siku moja niwaone🤔

Kwamba hakuna Watu wanaoitwa Watanzania au nchi inayoitwa Tanzania ili Ukaione na Wananchi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…