Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Wasio na akili wanaongezeka upande ule wa UTOPOLO.Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Kwa sasa nimehamia Yanga, ya huko mbeleni anayejua ni Mungu
Wasio na akili wanaongezeka upande ule wa UTOPOLO.
Jibu muruwa sana na niuamuzi wako Wala hupaswi kuingiliwa,nashangaa wanaumia wengine methali imetimia kwa wanaokulaumu pili wasiyoila ina wawashia nini?Mufano wako hauna uhusiano na mpila, na huu ni huamuzi wangu binafsi, unataka nife mapema kwa msongo wa mawazo?? Wehuoni Yanga wanavyocheza vizuri?
HahahaKaribu dunduka, Yanga raha, tutakufundisha kusoma na kuandika pia. Maana ulikotoka ni mbumbumbu FC π π π π π
Mpira siyo Mpila.
Shangaa nawewe mkuu, yani watu wanataka kukunipangia furaha yanguJibu muruwa sana na niuamuzi wako Wala hupaswi kuingiliwa,nashangaa wanaumia wengine methali imetimia kwa wanaokulaumu pili wasiyoila ina wawashia nini?
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Karibu ndugu Lunyasi.Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Mkuu kwa huu mpira huu wa papatu papatu sirudi ng'ooKaribu ndugu Lunyasi.
Magoli 100 unayajua vizuriAnohama team kwa maslahi sio sawa na kuhama team kama shabiki. Upenzi kitu chengine wee. Mie simba hata ifungwe magoli 100 siwezi kwenda Yanga hata kwa bahati mbaya
Kahamia uzuzuni FC ndo ataandika kiha kabisaππππππ π π π hilo jina limeshaisha muda wake, usiogope. Yaani tuna kazi, shabiki akitoka mbumbumbu FC ni Ahsante siyo Hasante πππ
HongeraSitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Dua la kuku, halimpati mwewe.Mpira wa simba na yanga ni kama homa.
Mara inapanda mara imeshuka. Hakuna consistency.
Utahama mara kwa mara.
Awamu hii ikiisha believe me, Yanga itadorora mno.