Nimehamia Yanga Rasmi

Nimehamia Yanga Rasmi

Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
Wasio na akili wanaongezeka upande ule wa UTOPOLO.
 
Kwa sasa nimehamia Yanga, ya huko mbeleni anayejua ni Mungu
Screenshot_20240922-144244.png
 
Mufano wako hauna uhusiano na mpila, na huu ni huamuzi wangu binafsi, unataka nife mapema kwa msongo wa mawazo?? Wehuoni Yanga wanavyocheza vizuri?
Jibu muruwa sana na niuamuzi wako Wala hupaswi kuingiliwa,nashangaa wanaumia wengine methali imetimia kwa wanaokulaumu pili wasiyoila ina wawashia nini?
 
Shangaa nawewe mkuu, yani watu wanataka kukunipangia furaha yangu
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........

Shabiki maandazi
 
Karibu ndugu Lunyasi.
 
😅😅😅😅 hilo jina limeshaisha muda wake, usiogope. Yaani tuna kazi, shabiki akitoka mbumbumbu FC ni Ahsante siyo Hasante 😄😄😄
Kahamia uzuzuni FC ndo ataandika kiha kabisa😃😃😃😃😃
 
Pole.naona umechota maji ya bahari kwa kikombe.
Ukajua yatapungua
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
Hongera
 
Mpira wa simba na yanga ni kama homa.

Mara inapanda mara imeshuka. Hakuna consistency.

Utahama mara kwa mara.

Awamu hii ikiisha believe me, Yanga itadorora mno.
Dua la kuku, halimpati mwewe.
 
Back
Top Bottom