Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

Bro kuepuka stress za zisizo na maana mpuuze mwanamke, usimuhitaji kwa hitaji lolote, utakua na amani na furaha sana.

Endelea kukumbuka hautapata furaha na amani kutoka nje ya wewe, ukijua hilo hata ukimkuta anakamuliwa wewe unapita hivi!
 
Ila wanaume wanaooa kipindi hiki wana moyo sana, me nimeshakataa ndoa kitambo sana. Hapa ni mwendo wa HIT and RUN tu
FB_IMG_1678462182075.jpg
 
grow some balls mzee...

wachuchu wapo wengi tafuta mwingine...
 
Back
Top Bottom