Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

Bro kuepuka stress za zisizo na maana mpuuze mwanamke, usimuhitaji kwa hitaji lolote, utakua na amani na furaha sana.

Endelea kukumbuka hautapata furaha na amani kutoka nje ya wewe, ukijua hilo hata ukimkuta anakamuliwa wewe unapita hivi!
 
grow some balls mzee...

wachuchu wapo wengi tafuta mwingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…