Hapana nitakuwa muongo, tatizo lako Kwa kweli Sina uzoefu nalo........ dharau sijamaanisha wewe nimemaanisha huyo aliyeambiwa anataka kukutapeli 65,sio wa namna hiyoSidharau ushauri mkuu coz nahitaji msaada kama waweza nipa ushauri pia ntashukuru
Mpunga unao kwanza? Ingia aga ghan dokta zahi Akbar,mnh kitengo Cha urology,Sijawai mkuu kama unaijua nielekeze, nilisikia tu ya jkci wametangaza kuanzisha iyo program lkn wamesema hadi mwezi wa kumi
Alikutega,ukicheat isifanye Kaz.....mshirikishe Yaan mwambie ukweli maana ndicho anachosubiri japo anajua....atarudi kutegua alikotegaSamahan mkuu nifafanulie kanifanyaje na nifanyeje
Ndiko iliko dawa yako ya kweli na thabiti kwa issue yako. kwa maelezo yako unayoyatoa.Yakupasa uamini na nikuhakikishie hautakuwa tena mgonjwa.Sawa mkuu japo siaminigi kwenye izo mambo za kuombewa ntajaribu
Mkuu sikupingi ila inapaswa ufahamu kuwa kuna watu wamenyooka hawana stori nyingi hao wanamaliza kila jambo hapo hapo. Labda jamaa ni mmoja wao usimhukumu kwa base hii ya kunyooka kwake.Hey tusichoshane kufanyishana watoto hapa!
Kwanini umtamanishe umempa hadi bei ili aone ni ndogo ashawishike?ungetaka kumpa msaada ungempa wigo mpana wa kukuchimba zaidi ili hayo yafikiwe lakini wewe kuanza tu na bei ya dawa umeshatangaza kwani yeye mleta mada aliuliza bei za dawa?
Nami naamini hiviMke wako ndio mwenye dawa yako
Naomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).
Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Natanguliza ahsante
Unasali kanisa gani?
Sawa ntafanya ivo japo kusema ukweli ananisaidia sana kupambana na hii hali na anaonesha kutojali ili nisiwe na mawazo hapo ndo huwa najipa iman huenda sio yeyeAlikutega,ukicheat isifanye Kaz.....mshirikishe Yaan mwambie ukweli maana ndicho anachosubiri japo anajua....atarudi kutegua alikotega
Njoo dmNaomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).
Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Natanguliza ahsante
Mkuu ningejua uyo mchupuko yuko wapi huenda ingesaidia sana ila nilipiga tukapotezana mazima sina mawasiliano naeHapo mchepuko alikufanyizia usisime kwa mtu yoyote ipokuwa yeye tu,ukitaka kuamini Rudi kwa mchepuko uone Kama haitasimama.ila ndoa yako ndio inakufa hivyo