Nimehangaika sana bila mafanikio

Nimehangaika sana bila mafanikio

Sidharau ushauri mkuu coz nahitaji msaada kama waweza nipa ushauri pia ntashukuru
Hapana nitakuwa muongo, tatizo lako Kwa kweli Sina uzoefu nalo........ dharau sijamaanisha wewe nimemaanisha huyo aliyeambiwa anataka kukutapeli 65,sio wa namna hiyo
 
Hey tusichoshane kufanyishana watoto hapa!

Kwanini umtamanishe umempa hadi bei ili aone ni ndogo ashawishike?ungetaka kumpa msaada ungempa wigo mpana wa kukuchimba zaidi ili hayo yafikiwe lakini wewe kuanza tu na bei ya dawa umeshatangaza kwani yeye mleta mada aliuliza bei za dawa?
Mkuu sikupingi ila inapaswa ufahamu kuwa kuna watu wamenyooka hawana stori nyingi hao wanamaliza kila jambo hapo hapo. Labda jamaa ni mmoja wao usimhukumu kwa base hii ya kunyooka kwake.
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante

Unasali kanisa gani?
 
Hapana nitakuwa muongo, tatizo lako Kwa kweli Sina uzoefu nalo........ dharau sijamaanisha wewe nimemaanisha huyo aliyeambiwa anataka kukutapeli 65,sio wa namna hiyo
Ahsante mkuu ntafata ushauri wake sitaupuuza
 
Hapo mchepuko alikufanyizia usisime kwa mtu yoyote ipokuwa yeye tu,ukitaka kuamini Rudi kwa mchepuko uone Kama haitasimama.ila ndoa yako ndio inakufa hivyo
 
Alikutega,ukicheat isifanye Kaz.....mshirikishe Yaan mwambie ukweli maana ndicho anachosubiri japo anajua....atarudi kutegua alikotega
Sawa ntafanya ivo japo kusema ukweli ananisaidia sana kupambana na hii hali na anaonesha kutojali ili nisiwe na mawazo hapo ndo huwa najipa iman huenda sio yeye
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
Njoo dm
 
Hapo mchepuko alikufanyizia usisime kwa mtu yoyote ipokuwa yeye tu,ukitaka kuamini Rudi kwa mchepuko uone Kama haitasimama.ila ndoa yako ndio inakufa hivyo
Mkuu ningejua uyo mchupuko yuko wapi huenda ingesaidia sana ila nilipiga tukapotezana mazima sina mawasiliano nae
 
Back
Top Bottom