Hilo fungu la 10 niwewe kujitwisha majukumu, kwani unalazimishwa? Wewe tafuta unachotaka mengine jiongeze basi, poleni sana, msichanganye changanye Mungu atamsadia!huko kwenye shuhuda za kupigwa fungu la 10 hapana. Kuna walokole flani ndio nipo nao wao sadaka tu huduma inaendelea.
Uchawi haupo,kilichobaki ni wasiwasi tu ambazo watu wamezijaza vichwani mwao.Muwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Angalau wewe umejitahidi kuiweka vizuriUchawi upo suala la kudhurika au kutodhurika ni maamuzi ya mtu.
OnyeshaUchawi upo
Jibu la maelezo yako soma post yangu 251Ni kama upepo, hauonekani kwa macho, ila athari zake ni wazi kabisa, na zinatambulika. Ndiyo maana uchawi ni nguvu za giza. Imagine mtu anaweza kuhamishwa ndani anakolala, akabebwa kishirikina na kulazwa nje, asubuhi akiamka yuko nje, na milango alikuwa amefunga!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nyie wahuniSisi wenyewe tulishamfanyia baba mdogo vimbwanga ili ahame alipokua anaishi kinyume na sheria mpka leo anaamini ni uchawii na huwezi mbadilisha....kumbe wajuba tulitupia mashuka meupe na nukuchezea akili yake tu
Shetani hawezi mtoa shetani mwenzie bali hutuliza tu na kukupiga pesa basiLakini kumbuka uchawi hatubiki kwa uchawi, bali kwa kumtegemea Mungu
Naona umeshindwa kabisa kujibu maswali yangu rahisi, ila umeamua kuyadismiss philosophically. But, trust me, they are still pending. Unasema "huenda"!??Where did this world come from?
Mbona hujauliza "where did God come from?"
Kama kila kitu lazima kiwe na mwanzo, basi lazima pia mungu awe ana chanzo. Hawezi tu kuwepo bila chanzo.
Kama anaweza kuwepo bila chanzo, basi hata dunia inaweza kuwepo bila chanzo pia.
Tunajuaje kama muda ni kitu halisi? Huenda hakuna muda.
Muda ni kitu kilichotengenezwa na binadamu! Ndio maana unakuja na maswali ya dunia imetoka wapi!
Dunia haijatoka popote. Ipo pale pale infinitely.
Yeye alikua anatokewa na watu live chumbani wamelala sio nje ya kimaigizo kama yenu hiyo, yani chumbani wamelala mchawi anajitokeza taa inawaka, mwanamke kajifunika buibui jeusi juu mpaka chini huoni hata miguuSisi wenyewe tulishamfanyia baba mdogo vimbwanga ili ahame alipokua anaishi kinyume na sheria mpka leo anaamini ni uchawii na huwezi mbadilisha....kumbe wajuba tulitupia mashuka meupe na nukuchezea akili yake tu
Hao ndiyo wazuri sasa [emoji1][emoji1][emoji1] unapambana nao, usipopata viziwizi hutamjua yesuIla yote kwa yote Jamani..ombeni msiwe na mchawi kwenye familia au ndugu wa karibu either wa baba au mama na awe amewaweka kwenye target yake..Jamani..Tushukuru tu nguvu za Mungu zipo.
Duu jamani, nimeumia sana dunia hii ione hivi hivikuna jamaa mmoja jirani yetu alikua na kacheo fulani uko mkoani Mara sijui alifanyaga kitu gani ila alilogwa alikuaga anakunya mawe yamoto walihangaika sana bila tiba mpaka walipofilisika nayeye akafa ndo niliamini uchawi upo
Do you believe that there is such power called "life," as in that unseen entinty or rather element, which keeps you alive???Kuprove wrong watu kuwa Iblis na Shetani does not exit
Hizo ni imani zilizochanganyika na psychological disoder
Na kama Iblis yupo au shetan nani aliwahi kumuona?
Nakumbuka alichanganyikiwa kabisa pale tulipokua kwenye gìza tororo tuna breathe fire kama madragon..kumbe watu tunapuliza mafuta ya taa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nyie wahuni
Nilienda kwa Mwamposa nikapigwa bahasha kama zote yani πHilo fungu la 10 niwewe kujitwisha majukumu, kwani unalazimishwa? Wewe tafuta unachotaka mengine jiongeze basi, poleni sana, msichanganye changanye Mungu atamsadia!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mkuu hapo kwenye kusikia vishindo hujamalizia stori,baada ya babu yake kuweka mitego ni nini kilitokea baadae?Muwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Yeah, that's real kabisa.Kuna mtumishi wa Mungu mmoja namjua ni rafiki yangu sana sana, kuna eneo nilimpatia aweke makazi alikutana na vimbwanga sio mchezo, alikua anasikia sauti na vishindo nje ya nyumba, na ilifika mahala walikua wanatokea na watu live yani live jicho kwa jicho lakini hakuacha kuomba
Exactly, mambo kama hayo yanawatokea watu wengi sana. Unatakiwa ujikite kwenye sala sana.Mkuu hapo kwenye kusikia vishindo hujamalizia stori,baada ya babu yake kuweka mitego ni nini kilitokea baadae?
Nimetamani kujua kwa sababu hicho ulichoelezea pia huwa kinatokea nyumbani kwangu mara kwa mara.
Nikilala nasikia dirisha linakwanguliwa,bati linatikiswa,sauti ya kishindo kama tofali limeangushwa lakini ukitoka nje asubuhi hukuti kitu,muda mwingine unasikia bomba limefunguliwa linamwaga maji lakini ukitoka nje asubuhi kuangalia ni pakavu kabisa.
So haya mambo kumbe yanafanana
Dah! Very dangerous kweli. They should have sought much prayers badala ya kwenda kwa waganga.kuna jamaa mmoja jirani yetu alikua na kacheo fulani uko mkoani Mara sijui alifanyaga kitu gani ila alilogwa alikuaga anakunya mawe yamoto walihangaika sana bila tiba mpaka walipofilisika nayeye akafa ndo niliamini uchawi upo
ππππ KwakweliHao ndiyo wazuri sasa [emoji1][emoji1][emoji1] unapambana nao, usipopata viziwizi hutamjua yesu
Huwa nawaambia watu uchawi wala siyo wa kujaribisha; unaweza kutumika wewe mwenyewe, tena kimzamzaa tu ikiwa hivyo. Ukweli mchungu ni kwamba hiyo kitu za kishirikina na nguvu za giza hazinaga fomula moja. So unaweza tulifanya hivi ama vile, kumbe nguvu ilitumika kupitia utayari wako. Uwezekano huo upo sana tu. Lakini upande wa pili, mtu anaweza akaamini amerogwa, kweli akaugua akafa!Sisi wenyewe tulishamfanyia baba mdogo vimbwanga ili ahame alipokua anaishi kinyume na sheria mpka leo anaamini ni uchawii na huwezi mbadilisha....kumbe wajuba tulitupia mashuka meupe na nukuchezea akili yake tu