Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Dah yaani mimi kwa jinsi nilivyowachoka hadi natamani nipande connection za wataalamu kutoka mozambique,nigeria,congo waje kuangamiza hawa washenzi
Hapo ndipo unapokosea. Hao wote ni members wa ufalme mmoja wa giza. Unahitaji nuru kutoka katika ufalme wa Nuru.
 
inawezekana na wewe ni mchawi tena mchawi wa kiume maana si kwa kuhaha huku kuwatetea wachawi wenzio
au laa wewe ni wa kupuuza maana ni mtu mzima lakini bado hujajitambua au unapenda sifa tu ili uonekane na wewe unajua kuhoji

all in all, hauna akili mkuu
Usiye na akili ni wewe unayeamini UJINGA

Imani ya kichawi ni sababu kubwa iliyowarudisha nyuma watu weusi

Badala ya kuwekeza katika elimu na teknolojia wakawekeza katika Imani ya kishenzi kama unayoamini wewe Mshenzi
 
mkuu acha kabisa kuna watu wanaweza hizi kazi.
Sema tu wamenikuta nina roho ngumu na mke wangu pia kauzu ingekuwa ni watu wengine wangehama na kuikimbia nyumba
Mtegemee sana Mungu, sali sana, soma Bible pia hiyo ndiyo ndawa hakuna nyingine
 
mkuu acha kabisa kuna watu wanaweza hizi kazi.
Sema tu wamenikuta nina roho ngumu na mke wangu pia kauzu ingekuwa ni watu wengine wangehama na kuikimbia nyumba
Hakuna kukimbia ni kuomba tu, kuna nyumba moja niliwahi kuta dumu la maji lita 10 lipo juu yakitanda tena kwenye net kabisa na mtu kanyoosha miguu na hakuligusa kashuka kitandani kawasha taa anaona dumu la maji nayeye ni mrefu anafika huko lilipo[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hawarogeki Mkuu kwasababu hawaamini kama kuna uchawi wako wa kuweza kuwaroga, wanaamini katika technology na skills

Mzungu anaogopa teknolojia na weledi kuliko uchawi, ukiweza kutengeneza silaha za nyuklia na bunduki za hatari kuliko za kwako atakuogopa lakini sio umwambie utamwendea Sumbawanga kumroga

Utaenda mwaka mzima hakuna chochote
Mzungu harogeki kakwambia nani?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Usiye na akili ni wewe unayeamini UJINGA

Imani ya kichawi ni sababu kubwa iliyowarudisha nyuma watu weusi

Badala ya kuwekeza katika elimu na teknolojia wakawekeza katika Imani ya kishenzi kama unayoamini wewe Mshenzi
Uchawi uko kila mahali, ila ukikuta kwenye jamii zinazoamini mambo fulani za kitamaduni kwa sababu ya ushirikina, huwa hakuna maendeleo. Lakini hata wasomi, matajiri, na kadhalika, uchawi hauchagui kabisa. Uko kila mahali.
 
Hawarogeki Mkuu kwasababu hawaamini kama kuna uchawi wako wa kuweza kuwaroga, wanaamini katika technology na skills

Mzungu anaogopa teknolojia na weledi kuliko uchawi, ukiweza kutengeneza silaha za nyuklia na bunduki za hatari kuliko za kwako atakuogopa lakini sio umwambie utamwendea Sumbawanga kumroga

Utaenda mwaka mzima hakuna chochote
Kumbe hujui kitu aisee! Hakuna jamii wasiyokuwepo wachawi. Huko ndiyo balaa sasa
 
Back
Top Bottom