Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Uchawi uko kila mahali, ila ukikuta kwenye jamii zinazoamini mambo fulani za kitamaduni kwa sababu ya ushirikina, huwa hakuna maendeleo. Lakini hata wasomi, matajiri, na kadhalika, uchawi hauchagui kabisa. Uko kila mahali.
Hivi unaposema upo kila mahali una uhakika?

Mbona kwangu haupo? Mbona sijawahi kuushuhudia?

Unaona unavyoandika uongo?

Kama upo thibitisha hapa tuamini.
 
Kumbe hujui kitu aisee! Hakuna jamii wasiyokuwepo wachawi. Huko ndiyo balaa sasa
Kwa asilimia ngapi? Weka ushahidi.

Achana na mengine yooote weka ushahidi wa kitakwimu kuwa upo hadi huko na kwasasa ni balaa.
 
Nadhani unafuatilia mwenye koments za wadau na visa, sasa kama huwezi kuamini na haya, basi siku ya msaada wako huenda siyo leo au siyo hapa.
Siamini Uzushi wa story za vijiweni

To see is to believe, I want to see
 
Anzia hapo unapoishi.kuwambia

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Nilishatoa hadi dau hamna kituu banaa...watu wanaongea tu na kujazana ujingaa, kuna mti mmoja walisema ukipita saa tisa usiku unawakuta mara majini, nimepita hapo week nzima sijaona kitu

Nihitimishe tu kwa kusema hakuna uchawi anaesema upo aje anirogee
 
Nawachukua Sana wachawi.
Hawa Waganga Wametusaidia Sana Wakati Wa COVID 19
Wamefanya Kazi NzuriKupitia Mitishamba, Ndugu Zangu
Uchawi Tu Ndiyo Mbaya!😁😂😀😄😄😄
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😀😂😅😏😏😀😁😂🤣
 
Back
Top Bottom