Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hapo ndipo unapokosea. Hao wote ni members wa ufalme mmoja wa giza. Unahitaji nuru kutoka katika ufalme wa Nuru.Dah yaani mimi kwa jinsi nilivyowachoka hadi natamani nipande connection za wataalamu kutoka mozambique,nigeria,congo waje kuangamiza hawa washenzi
[emoji23][emoji23][emoji23]....so hilarioushawakuamua
OkNauliza hayo Maandiko ni yao kwenye Bible???
SawaAmeuliza kama Kuna mahali wameielezea chumvi Kwenye Bible...
Yeah, unahitajika kufanya continuous prayers, na kujiweka kwa Mungu sana tun
Ndio naamini hilo ila sasa shida ni ile kero ya kustuka nite
Hapo ndipo unapokosea. Hao wote ni members wa ufalme mmoja wa giza. Unahitaji nuru kutoka katika ufalme wa Nuru.
Usiye na akili ni wewe unayeamini UJINGAinawezekana na wewe ni mchawi tena mchawi wa kiume maana si kwa kuhaha huku kuwatetea wachawi wenzio
au laa wewe ni wa kupuuza maana ni mtu mzima lakini bado hujajitambua au unapenda sifa tu ili uonekane na wewe unajua kuhoji
all in all, hauna akili mkuu
Ndiyo aanze kuamini sasaNi kweli ndio maana hata wanaomkana anawatunza. Point yangu ni kwamba, huyo unayesema amshukuru Mungu wakati Mungu mwenyewe haamini kama yupo atamshukuru vipi?
Yeah, unahitajika kufanya continuous prayers, na kujiweka kwa Mungu sana tu
Kila wakati mnasema hivyo tuWengine siyo wachawi, ila kwa sababu they don't know how hiyo power inavyofanya kazi wanaweza wasitambue kabisa kwa ni uchawi.
Mtegemee sana Mungu, sali sana, soma Bible pia hiyo ndiyo ndawa hakuna nyinginemkuu acha kabisa kuna watu wanaweza hizi kazi.
Sema tu wamenikuta nina roho ngumu na mke wangu pia kauzu ingekuwa ni watu wengine wangehama na kuikimbia nyumba
Hakuna kukimbia ni kuomba tu, kuna nyumba moja niliwahi kuta dumu la maji lita 10 lipo juu yakitanda tena kwenye net kabisa na mtu kanyoosha miguu na hakuligusa kashuka kitandani kawasha taa anaona dumu la maji nayeye ni mrefu anafika huko lilipo[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]mkuu acha kabisa kuna watu wanaweza hizi kazi.
Sema tu wamenikuta nina roho ngumu na mke wangu pia kauzu ingekuwa ni watu wengine wangehama na kuikimbia nyumba
Thibitisha tuone ulivyo RealUchawi ni real aisee!
Mzungu harogeki kakwambia nani?Hawarogeki Mkuu kwasababu hawaamini kama kuna uchawi wako wa kuweza kuwaroga, wanaamini katika technology na skills
Mzungu anaogopa teknolojia na weledi kuliko uchawi, ukiweza kutengeneza silaha za nyuklia na bunduki za hatari kuliko za kwako atakuogopa lakini sio umwambie utamwendea Sumbawanga kumroga
Utaenda mwaka mzima hakuna chochote
Uchawi uko kila mahali, ila ukikuta kwenye jamii zinazoamini mambo fulani za kitamaduni kwa sababu ya ushirikina, huwa hakuna maendeleo. Lakini hata wasomi, matajiri, na kadhalika, uchawi hauchagui kabisa. Uko kila mahali.Usiye na akili ni wewe unayeamini UJINGA
Imani ya kichawi ni sababu kubwa iliyowarudisha nyuma watu weusi
Badala ya kuwekeza katika elimu na teknolojia wakawekeza katika Imani ya kishenzi kama unayoamini wewe Mshenzi
Kama unaamini Mungu yupo, Shetani naye yupo, na ndiye huyu chanzo cha nguvu za gizandio naamini yupo
amekariri huyo.
Kumbe hujui kitu aisee! Hakuna jamii wasiyokuwepo wachawi. Huko ndiyo balaa sasaHawarogeki Mkuu kwasababu hawaamini kama kuna uchawi wako wa kuweza kuwaroga, wanaamini katika technology na skills
Mzungu anaogopa teknolojia na weledi kuliko uchawi, ukiweza kutengeneza silaha za nyuklia na bunduki za hatari kuliko za kwako atakuogopa lakini sio umwambie utamwendea Sumbawanga kumroga
Utaenda mwaka mzima hakuna chochote
Means, Ufalme wa Mungu au nguvu ya Munguhuo ufalme wa Nuru upo wapi?
Ni kweli wamekaririamekariri huyo.
Sema tu wachawi wanawapotezea kwa sababu ni wageni na hawana bifu nao