Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mtu akifanyiwa ndumba hajitambui, anatakaa hajarogwa. Hiyo inatokea sana. Akili inakuwa imebanguliwa.Kila wakati mnasema hivyo tu
Uliwahi kumroga Mzungu yupi?
Nadhani unafuatilia mwenye koments za wadau na visa, sasa kama huwezi kuamini na haya, basi siku ya msaada wako huenda siyo leo au siyo hapa.Thibitisha tuone ulivyo Real
Hivi unaposema upo kila mahali una uhakika?Uchawi uko kila mahali, ila ukikuta kwenye jamii zinazoamini mambo fulani za kitamaduni kwa sababu ya ushirikina, huwa hakuna maendeleo. Lakini hata wasomi, matajiri, na kadhalika, uchawi hauchagui kabisa. Uko kila mahali.
Kwa asilimia ngapi? Weka ushahidi.Kumbe hujui kitu aisee! Hakuna jamii wasiyokuwepo wachawi. Huko ndiyo balaa sasa
Wape pole watumwa wa ushirikina.Really? Pole sana aisee!
UmbeaMtu akifanyiwa ndumba hajitambui, anatakaa hajarogwa. Hiyo inatokea sana. Akili inakuwa imebanguliwa.
Siamini Uzushi wa story za vijiweniNadhani unafuatilia mwenye koments za wadau na visa, sasa kama huwezi kuamini na haya, basi siku ya msaada wako huenda siyo leo au siyo hapa.
Natafuta watu wakunilogaa
Naamini lakini nusu nusu Yani 50 kwa 50Uchawi ni kitu kipo kabisa, ni halisi; tena wala haina ubishi. Na upo katika viwango (grades) mbalimbali -- ni aina fulani ya taaluma ya nguvu za giza. Believe it or not.
Basi sawa kila mtu abaki na lake[emoji1666]Na mm kuna kisa nilishuhudia katika macho yangu na kuamini uchawi hakuna
Nipo hapaNatafuta watu wakunilogaa
Hili nalo neno.Basi sawa kila mtu abaki na lake[emoji1666]
Anzia hapo unapoishi.kuwambiaNatafuta watu wakunilogaa
Nilogee basiiNipo hapa
Nilishatoa hadi dau hamna kituu banaa...watu wanaongea tu na kujazana ujingaa, kuna mti mmoja walisema ukipita saa tisa usiku unawakuta mara majini, nimepita hapo week nzima sijaona kitu
Hawa Waganga Wametusaidia Sana Wakati Wa COVID 19Nawachukua Sana wachawi.
Uchawi wangu haupenyi kwenye simu..ana kwa ana mzeeNilogee basii
Wkend nakuja hukoo andaa kabisa mavibuyu yakooUchawi wangu haupenyi kwenye simu..ana kwa ana mzee
Haaπππ€πππ€£Nilogee basii