Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Uchawi wangu haupenyi kwenye simu..ana kwa ana mzee
Uchawi Wa Uno πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜„
Kama Lile La Kangi
 
Uchawi Wa Uno πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜„
Kama Lile La Kangi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu uno atazidiwa..nampiga kitu mpapaso...ushawahi kaa sehemu una his kabisa umeguswa alafu mtu humuoni???...
 
[emoji23][emoji23] Sirogi kwa vibuyu man...nakupiga kitu inaitwa uchawi mpapaso..[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we niache bana niwatafute wachawi wa kweli[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu uno atazidiwa..nampiga kitu mpapaso...ushawahi kaa sehemu una his kabisa umeguswa alafu mtu humuoni???...
Hahahahha umeamka na nin leo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu uno atazidiwa..nampiga kitu mpapaso...ushawahi kaa sehemu una his kabisa umeguswa alafu mtu humuoni???...
Bila Shaka Yoyote Masau Bwire
Ndiyo Anatumia Hiyo Mbinu Ya Mpapaso Square!!!!
πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we niache bana niwatafute wachawi wa kweli[emoji1787][emoji1787]
🀣🀣🀣🀣 Kwahiyo unahisi Mimi nazingua au...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nendaga ukarogwe uko Mimi siyawezi hayo
 
Hivi unaposema upo kila mahali una uhakika?

Mbona kwangu haupo? Mbona sijawahi kuushuhudia?

Unaona unavyoandika uongo?

Kama upo thibitisha hapa tuamini.
Najua hatubishani aisee! Kuna vitu vya kubisha, lakini siyo habari ya ufalme wa giza na mambo ya kishirikina. Labda useme haufahamu, hapo sawa.
 
kwa mtu ambaye hayajakukuta ...kama mambo yako yamenyooka...haujichanganyi na waswahili hasa kwenye mambo ya biashara nk....hautaelewa kama haya mambo yapo
 
Hawapo.Mimi mwenyewe nilishawaambia km kweli kuna mchawi aje aniroge lakini hadi leo hakuna aliyejitokeza.
ni ujinga wa kwenye keyboard....hata Rais unaweza mwambia chochote au ukamtukana sababu ukorofi wako unautumia kwenye keyboard labda na VPN.....lakini ukishakuwa target hauchomoki
 
Kama Uchawi upo wewe roga ile mali yooote ya Bakhresa iwe yako. Msilete ujinga hapa uchawi ni ujinga.
Kinachonifanyaga nisiamini haya mambo ndio hiki. Inawezekanaje mtu anauwezo mkubwa wa kuloga lakini ni kapuku hata mlo mmoja ni shida?
 
kwa mtu ambaye hayajakukuta ...kama mambo yako yamenyooka...haujichanganyi na waswahili hasa kwenye mambo ya biashara nk....hautaelewa kama haya mambo yapo
biashara gani au kama zile za kina jeff bezos au biashara za vitumbua?
 
Kinachonifanyaga nisiamini haya mambo ndio hiki. Inawezekanaje mtu anauwezo mkubwa wa kuloga lakini ni kapuku hata mlo mmoja ni shida?
au utamkuta mganga mashuhuri eti kakamatwa na polisi hana kibali cha kufanyia kazi, sasa hizo nguvu z giza walizonazo sijui ni za kazi gani km si uongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…