Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Uchawi Wa Uno πππ ππππ€£π€£π πUchawi wangu haupenyi kwenye simu..ana kwa ana mzee
Kama Lile La Kangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi Wa Uno πππ ππππ€£π€£π πUchawi wangu haupenyi kwenye simu..ana kwa ana mzee
ππ Sirogi kwa vibuyu man...nakupiga kitu inaitwa uchawi mpapaso..π€£π€£Wkend nakuja hukoo andaa kabisa mavibuyu yakoo
ππππ Huyu uno atazidiwa..nampiga kitu mpapaso...ushawahi kaa sehemu una his kabisa umeguswa alafu mtu humuoni???...Uchawi Wa Uno πππ ππππ€£π€£π π
Kama Lile La Kangi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we niache bana niwatafute wachawi wa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Sirogi kwa vibuyu man...nakupiga kitu inaitwa uchawi mpapaso..[emoji1787][emoji1787]
Hahahahha umeamka na nin leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu uno atazidiwa..nampiga kitu mpapaso...ushawahi kaa sehemu una his kabisa umeguswa alafu mtu humuoni???...
Bila Shaka Yoyote Masau Bwireππππ Huyu uno atazidiwa..nampiga kitu mpapaso...ushawahi kaa sehemu una his kabisa umeguswa alafu mtu humuoni???...
π€£π€£π€£π€£ Kwahiyo unahisi Mimi nazingua au...ππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we niache bana niwatafute wachawi wa kweli[emoji1787][emoji1787]
ππ...kwaheriiiiππHahahahha umeamka na nin leo
Najua hatubishani aisee! Kuna vitu vya kubisha, lakini siyo habari ya ufalme wa giza na mambo ya kishirikina. Labda useme haufahamu, hapo sawa.Hivi unaposema upo kila mahali una uhakika?
Mbona kwangu haupo? Mbona sijawahi kuushuhudia?
Unaona unavyoandika uongo?
Kama upo thibitisha hapa tuamini.
Sio sifahamu, siamini na haupo ni Imani tuNajua hatubishani aisee! Kuna vitu vya kubisha, lakini siyo habari ya ufalme wa giza na mambo ya kishirikina. Labda useme haufahamu, hapo sawa.
Na huu ndio ukweli.Uchawi upo Sana na wanaokataa uwepo wa uchawi ndio wachawi wenyewe
Hawapo.Mimi mwenyewe nilishawaambia km kweli kuna mchawi aje aniroge lakini hadi leo hakuna aliyejitokeza.Natafuta watu wakunilogaa
kwa mtu ambaye hayajakukuta ...kama mambo yako yamenyooka...haujichanganyi na waswahili hasa kwenye mambo ya biashara nk....hautaelewa kama haya mambo yapoStory za kusadikika hizo. Hata mimi naweza kuandika kisa hapa kuhalalisha uwepo wa uchawi ila haimaanishi kuwa hiyo story ni ya kweli. Story zote za uchawi ni hearsay, mtu anasimuliwa nae anaenda kusimulia by the time story inamrudia muasisi ishabadilika na kuongezewa chumvi zaidi.
Aidha sio kila kitu ambacho hakina rational explanation ni uchawi.
Uchawi ni story zinazoaminiwa na wavivu wa kufikiri na kuenezwa na wajinga.
ni ujinga wa kwenye keyboard....hata Rais unaweza mwambia chochote au ukamtukana sababu ukorofi wako unautumia kwenye keyboard labda na VPN.....lakini ukishakuwa target hauchomokiHawapo.Mimi mwenyewe nilishawaambia km kweli kuna mchawi aje aniroge lakini hadi leo hakuna aliyejitokeza.
Kinachonifanyaga nisiamini haya mambo ndio hiki. Inawezekanaje mtu anauwezo mkubwa wa kuloga lakini ni kapuku hata mlo mmoja ni shida?Kama Uchawi upo wewe roga ile mali yooote ya Bakhresa iwe yako. Msilete ujinga hapa uchawi ni ujinga.
biashara gani au kama zile za kina jeff bezos au biashara za vitumbua?kwa mtu ambaye hayajakukuta ...kama mambo yako yamenyooka...haujichanganyi na waswahili hasa kwenye mambo ya biashara nk....hautaelewa kama haya mambo yapo
au utamkuta mganga mashuhuri eti kakamatwa na polisi hana kibali cha kufanyia kazi, sasa hizo nguvu z giza walizonazo sijui ni za kazi gani km si uongo tuKinachonifanyaga nisiamini haya mambo ndio hiki. Inawezekanaje mtu anauwezo mkubwa wa kuloga lakini ni kapuku hata mlo mmoja ni shida?
Njoo uniroge wewe,nitakulipa.ni ujinga wa kwenye keyboard....hata Rais unaweza mwambia chochote au ukamtukana sababu ukorofi wako unautumia kwenye keyboard labda na VPN.....lakini ukishakuwa target hauchomoki
Yaani watu tunashindwa tu kujiongeza.au utamkuta mganga mashuhuri eti kakamatwa na polisi hana kibali cha kufanyia kazi, sasa hizo nguvu z giza walizonazo sijui ni za kazi gani km si uongo tu