Walinirudisha nyuma sana, kila ninachofanya hakiendi biashara zote zikafa na mwisho wakaamua waninyoe nywele, wakanyoa mara ya kwanza ikabidi niende saluni kuzikata zote maana hazikufaa Tena kuwa hivyo, zilivyoota mara ya pili wakaninyoa tena. Nikaona bora niondoke kwanza nikae mbali na hapo.
Witches dont want your or their success but your Failure ,suffering and your death. Since the doctors of the body can not solve witchcraft enchantments, you might need to consider visiting your 'ancestors/elderly' to deal with it traditionallyUchawi ungekuwepo:-
Wakoloni wasingewanyanyasa Babu zetu kiasi kile mpaka wanaume wanne wakiwa nusu uchi wanambeba mwanaume mmoja wa kizungu juu kuanzia Kigoma mpaka Kilimanjaro
Wasingechapwa mijeledi kiasi kile na waarabu
Wanaume wa kinijeria wasingechukuliwa watumwa na kupelekwa America kutumikishwa wazee wao waangalie tu
Timu za Simba na Yanga zingekuwa club bingwa za dunia
Wachezaji wa kibongo wangechezea Barca, Real Madrid, Liverpool etc
Mwisho kabisa hao wachawi wenyewe wangekuwa ni matajiri wakubwa mno sio wa kuomba kuletewa Kuku mweusi
The more watu wanavyoingia au kuzama zaidi katika mambo ya kishirikina & uchawi, ndivyo wanavyozidi kuingia kwenye stages za kuwasiliana kwa ukaribu ama moja kwa moja na huyo mfalme wa giza. Na ndiyo maana kuna matukio yanayofahamika ya mashetani au malaika wa giza kuishi na wanadamu na kuwasiliana nao just kama wanadamu wengine. Wasichokijua wengi ni kwamba Shetani na ufalme wake wa jeshi la malaika waovu wanaweza kujigeuza mionekano yao na kuishi miongoni mwa wanadamu, hata wakajipenyeza na kuingia miilini mwao wakaishi kama mapepo wakawasababishia masumbufu, maradhi na mateso yasiyokoma.Hivi hao Aliens huwa wanahusishwa na uchawi?...aisee SIKUJUA
Ni mbwa hawaUongo wa uchawi hakika unatia kichefu chefu, mbona wachawi wasiloge tukachukua hata World Cup
Nadhani hii ni namna ya kuuliza kwamba alijuaje. Wachawi wengi sana wameokoka na ndio wanasimulia visa hivi vingi vya ajabu na namna wanavyotesa watu na kuvuruga mwenendo wa amani & utulivu maishani. Watu wengi wameshuhudia pia kwa macho yao haya yakifanyika. Wachawi nao wanaumbuka, aisee! Ni ufalme wa giza wenye nguvu, lakini ipo nguvu nyingine kuu zaidi yake.Dah! Kumbe wana uwezo wa kumsasabishia mtu Ajali na Maradhi? Wao hawakugundua km unawaona?
"you might need to consider visiting your ancestors/elderly to deal with it traditionally" --- Do you mean dead people are not really dead, and that they can help solve any of one's troublesome predicaments??? It is rather very clear that mtu akifa, amekufa. End of story.Witches dont want your or their success but your Failure ,suffering and your death. Since the doctors of the body can not solve witchcraft enchantments, you might need to consider visiting your 'ancestors/elderly' to deal with it traditionally
Mpaka umeselect Nigeria manake kua unasadiki wao ni magwiji wa hizo kaziUchawi ungekuwepo:-
Wakoloni wasingewanyanyasa Babu zetu kiasi kile mpaka wanaume wanne wakiwa nusu uchi wanambeba mwanaume mmoja wa kizungu juu kuanzia Kigoma mpaka Kilimanjaro
Wasingechapwa mijeledi kiasi kile na waarabu
Wanaume wa kinijeria wasingechukuliwa watumwa na kupelekwa America kutumikishwa wazee wao waangalie tu
Timu za Simba na Yanga zingekuwa club bingwa za dunia
Wachezaji wa kibongo wangechezea Barca, Real Madrid, Liverpool etc
Mwisho kabisa hao wachawi wenyewe wangekuwa ni matajiri wakubwa mno sio wa kuomba kuletewa Kuku mweusi
Nani aliyekuambia mm kuwa nimesema kuna ibilis haya maneno umeyatoa wapi mbona unasema vitu ambavyo mm sikusemaMwenyewe unajiita "iblis" umejuaje kama yupo?!!
Mbona hatumuoni?!!
Endelea "kuch..ambaaa" hadharani🤣
Vitabu sio vya Mungu bali ni binadam Mungu hana vitabuJe unaamini vitabu vya Mungu?
We kweli ni iblis bin shetan 😀😀😀Vitabu sio vya Mungu bali ni binadam Mungu hana vitabu
we ibilisi kuna siku nimelala kuamka asubuhi nywele zangu zimenyolewa pande mbili kulia na kushoto wakati kabla ya kulala nywele zangu zilikuwa vizuri tu . Kwa hiyo hapo natakiwa nitumie dawa ya akili sio?Mm nahisi hapo alikuwa na anxiety tu kwakuwa amepanda katika jukwaa
Na anxiety inapona kwa counselling na ikishindikana kwa counselling hapo ndio unaweza kufikiria kumpa dawa za akili
Unakubali uchawi una nguvu ?we ibilisi kuna siku nimelala kuamka asubuhi nywele zangu zimenyolewa pande mbili kulia na kushoto wakati kabla ya kulala nywele zangu zilikuwa vizuri tu . Kwa hiyo hapo napiga natakiwa nitumie dawa ya akili sio?
Huo mtaa nilikuwa naambiwa kuna wachawi nikawa siamini. Hiyo siku ndo niliamini
Hizo imani kama vile ku practise habari za maombi kanisani na msikitiniTena kuna. Memba mmoja huku alikuwa akiitwa Majimoto aliletaga uzi kabisa huku kuwa yeye ni. Mchawi na jinsi alivoshiriki kweny kuloga kwa miaka mingi
Mimi nimekuuliza swali na wewe unaniuliza tena? YeboooUnakubali uchawi una nguvu ?
Nakuuliza ili upate kuelewa naona haupo tayari kila la kheriM
Mimi nimekuuliza swali na wewe unaniuliza tena? Yebooo
Sema umeshindwa, unafata tu mkumbo hujui kitu shetani weweNakuuliza ili upate kuelewa naona haupo tayari kila la kheri
SawaSema umeshindwa, unafata tu mkumbo hujui kitu shetani wewe