Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Aaaah! Aaaah! Aaaah! Aaaah! Pole sana my neighbour
Walinirudisha nyuma sana, kila ninachofanya hakiendi biashara zote zikafa na mwisho wakaamua waninyoe nywele, wakanyoa mara ya kwanza ikabidi niende saluni kuzikata zote maana hazikufaa Tena kuwa hivyo, zilivyoota mara ya pili wakaninyoa tena. Nikaona bora niondoke kwanza nikae mbali na hapo.
 
Uchawi ungekuwepo:-

Wakoloni wasingewanyanyasa Babu zetu kiasi kile mpaka wanaume wanne wakiwa nusu uchi wanambeba mwanaume mmoja wa kizungu juu kuanzia Kigoma mpaka Kilimanjaro

Wasingechapwa mijeledi kiasi kile na waarabu

Wanaume wa kinijeria wasingechukuliwa watumwa na kupelekwa America kutumikishwa wazee wao waangalie tu

Timu za Simba na Yanga zingekuwa club bingwa za dunia

Wachezaji wa kibongo wangechezea Barca, Real Madrid, Liverpool etc

Mwisho kabisa hao wachawi wenyewe wangekuwa ni matajiri wakubwa mno sio wa kuomba kuletewa Kuku mweusi
Witches dont want your or their success but your Failure ,suffering and your death. Since the doctors of the body can not solve witchcraft enchantments, you might need to consider visiting your 'ancestors/elderly' to deal with it traditionally
 
Hivi hao Aliens huwa wanahusishwa na uchawi?...aisee SIKUJUA
The more watu wanavyoingia au kuzama zaidi katika mambo ya kishirikina & uchawi, ndivyo wanavyozidi kuingia kwenye stages za kuwasiliana kwa ukaribu ama moja kwa moja na huyo mfalme wa giza. Na ndiyo maana kuna matukio yanayofahamika ya mashetani au malaika wa giza kuishi na wanadamu na kuwasiliana nao just kama wanadamu wengine. Wasichokijua wengi ni kwamba Shetani na ufalme wake wa jeshi la malaika waovu wanaweza kujigeuza mionekano yao na kuishi miongoni mwa wanadamu, hata wakajipenyeza na kuingia miilini mwao wakaishi kama mapepo wakawasababishia masumbufu, maradhi na mateso yasiyokoma.
 
Kutokuamini uchawi ni jambo lingine na uwepo wa uchawi ni jambo lingine.... kuamini uwepo wake haikufanyi uwe mshirikina na kutokuamini haikufanyi kua civilized person.

NB: Kuna watu wanaona kusema uchawi upo wataitwa washirikina nikutoe wasiwasi tu wewe si mshirikina. Ushirikina ni kushiriki uchawi na si vinginevyo.
 
Dah! Kumbe wana uwezo wa kumsasabishia mtu Ajali na Maradhi? Wao hawakugundua km unawaona?
Nadhani hii ni namna ya kuuliza kwamba alijuaje. Wachawi wengi sana wameokoka na ndio wanasimulia visa hivi vingi vya ajabu na namna wanavyotesa watu na kuvuruga mwenendo wa amani & utulivu maishani. Watu wengi wameshuhudia pia kwa macho yao haya yakifanyika. Wachawi nao wanaumbuka, aisee! Ni ufalme wa giza wenye nguvu, lakini ipo nguvu nyingine kuu zaidi yake.
 
Witches dont want your or their success but your Failure ,suffering and your death. Since the doctors of the body can not solve witchcraft enchantments, you might need to consider visiting your 'ancestors/elderly' to deal with it traditionally
"you might need to consider visiting your ancestors/elderly to deal with it traditionally" --- Do you mean dead people are not really dead, and that they can help solve any of one's troublesome predicaments??? It is rather very clear that mtu akifa, amekufa. End of story.
 
Uchawi ungekuwepo:-

Wakoloni wasingewanyanyasa Babu zetu kiasi kile mpaka wanaume wanne wakiwa nusu uchi wanambeba mwanaume mmoja wa kizungu juu kuanzia Kigoma mpaka Kilimanjaro

Wasingechapwa mijeledi kiasi kile na waarabu

Wanaume wa kinijeria wasingechukuliwa watumwa na kupelekwa America kutumikishwa wazee wao waangalie tu

Timu za Simba na Yanga zingekuwa club bingwa za dunia

Wachezaji wa kibongo wangechezea Barca, Real Madrid, Liverpool etc

Mwisho kabisa hao wachawi wenyewe wangekuwa ni matajiri wakubwa mno sio wa kuomba kuletewa Kuku mweusi
Mpaka umeselect Nigeria manake kua unasadiki wao ni magwiji wa hizo kazi
 
Mm nahisi hapo alikuwa na anxiety tu kwakuwa amepanda katika jukwaa
Na anxiety inapona kwa counselling na ikishindikana kwa counselling hapo ndio unaweza kufikiria kumpa dawa za akili
we ibilisi kuna siku nimelala kuamka asubuhi nywele zangu zimenyolewa pande mbili kulia na kushoto wakati kabla ya kulala nywele zangu zilikuwa vizuri tu . Kwa hiyo hapo natakiwa nitumie dawa ya akili sio?
Huo mtaa nilikuwa naambiwa kuna wachawi nikawa siamini. Hiyo siku ndo niliamini
 
we ibilisi kuna siku nimelala kuamka asubuhi nywele zangu zimenyolewa pande mbili kulia na kushoto wakati kabla ya kulala nywele zangu zilikuwa vizuri tu . Kwa hiyo hapo napiga natakiwa nitumie dawa ya akili sio?
Huo mtaa nilikuwa naambiwa kuna wachawi nikawa siamini. Hiyo siku ndo niliamini
Unakubali uchawi una nguvu ?
 
Back
Top Bottom