Hamna kitu.Labda hao wazungu nao wachawi kuliko mababu zetu!? Who knows!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uchawi ni kutumia uwezo usio wa kibinadamu ama nguvu za giza (supernatural power) katika kuathiri na kubadili matukio, kuwatawala watu, kuteka, kuvuruga na kuhilibu (manipulate), kusumbua, kutisha, kutesa, kudhuru, kuangamiza, au kuua.Twende kwa facts.
Fact 1.
Huja define uchawi ni nini.
Hutakiwi kumshutumu mtu kwamba ni mgumu wa kuelewa, ikiwa hujafanya kitu cha kwanza kabisa cha kumuelewesha.
Hujatoa hata definition ya uchawi, unanishutumu mgumu wa kuelewa.
Wewe si tu hujaelewa, wewe hujui kufikiri.
Hata lako pia jina limekaa kiwalakini sana, aisee! Halafu umelificha ndani ya tujinenoneno twingi, lakini sisi tunakusoma sana tu!!!Nimekuelewa Mkuu.Na kwakweli hilo jina alibadili maana lina walakini.
Mm sifanyi shirki nyinyi mnaesema kuna uchawi ndio wachawi wenyweMtu unaitwa Iblis Bin Shetan halafu bado unatuambia uchawi haupo. Wewe ni mmoja ya hao wenye kufanya shirki/uchawi.
Na wachawi wote huwa mna tabia ya kukana uwepo wa uchawi kwenye mijadala mbalimbali.
Kitu ambacho huwezi kukithibitisha huwezi kusema kipo uchawi ni imani kama vile uislam na nikisema uchawi upo namaanisha upo kiimani lakini hauna nguvu kama wengi wanavyofikiriUkisoma vizuri hii article yako paragraph ya pili unakili uchawi upo hapo unapo sema" ili ufanye kazi lazima wewe uane rogwa ukubali" ajabu bado una bishi uchawi haupo
😁😁😁😂 mara kadhaa nimeshafikiria kubadili hii ID yangu, na mapema sana nitafanya hivyo.Hata lako pia jina limekaa kiwalakini sana, aisee! Halafu umelificha ndani ya tujinenoneno twingi, lakini sisi tunakusoma sana tu!!!
Basi sawa. Sema tu kwakuwa name calling kwa issue fulani fulani hairuhusiwi humu, la sivyo ningekutajia jina la Mheshimiwa ambaye aliwahi kuwa DC wa Magu, Mwanza (alikuja kuwa mtu mkubwa nchini, na sasa ni Msaafu) ili ukasikie ushuhuda wake kuhusiana na jambo unalobishia hapa.Mm sifanyi shirki nyinyi mnaesema kuna uchawi ndio wachawi wenywe
Wewe umejuaje kama kuna uchawi kama sio mchawi
Ukipata connection nishtue😂😂Dah yaani mimi kwa jinsi nilivyowachoka hadi natamani nipande connection za wataalamu kutoka mozambique,nigeria,congo waje kuangamiza hawa washenzi
Ivi mazungaombwe ni uchawimkuu Hazard CFC ni ngumu kukuelewesha ukanielewa bt nakushauri jenga urafiki na watu wa afya kisha katika maongezi uwe unawaulize juu ya haya mambo, pia kitu kingine kama uliwahi shuhudia hata mazingaombwe wakati upo shule basi itatosha kujua kua uchawi upo.
Itakuwa vyema sana; una hoja zenye mashiko, sasa tukigeukia ujinani tunaulizana kulikoni. Anyways, tuko pamoja kulijenga taifa zuri la Tanzania & ufalme wa nuru.😁😁😁😂 mara kadhaa nimeshafikiria kubadili hii ID yangu, na mapema sana nitafanya hivyo.
powa mkuuUkipata connection nishtue[emoji23][emoji23]
Kuna mazingaombwe kwa maana ya uchawi na mazingaombwe kwa maana ya "mental tricks."Ivi mazungaombwe ni uchawi
Watu wengi hawajui jinsi Mungu anavyowalinda kila sekunde; wengine badala ya kumshukuru Mungu wao wanamkufuru.Basi sawa. Sema tu kwakuwa name calling kwa issue fulani fulani hairuhusiwi humu, la sivyo ningekutajia jina la Mheshimiwa ambaye aliwahi kuwa DC wa Magu, Mwanza (alikuja kuwa mtu mkubwa nchini, na sasa ni Msaafu) ili ukasikie ushuhuda wake kuhusiana na jambo unalobishia hapa.
Jamaa alikuwa haamini haya mambo na akawa anawaambia wale Wasukuma wa Magu kuwa hawana la kumfanya. Iko siku aliamka amelala kwenye uwanja wa Sabasaba, akiwa na familia yake hawajitambui. Alihama fasta na kama sikosei hakiendelea na u-DC kokote nchini tena.
Kesho nitakuuliza swali wee jamaa.Kitu ambacho huwezi kukithibitisha huwezi kusema kipo uchawi ni imani kama vile uislam na nikisema uchawi upo namaanisha upo kiimani lakini hauna nguvu kama wengi wanavyofikiri
Tupe iyo elimuFacts, namshukur Mungu amewah kunionesha kwamba duniani kuna wachawi tangu nikiwa na miaka 8 na nilikuwa nawaona live wakija usiku nyumbani.
Bila kaka wala dada zangu wote kuwaona, so namshukur Mungu my spiritual Identity was ever strong mpaka sasa, ni jambo jema sana....wachawi wapo every now and then....na wanasababisha vitu vya ajabu sana lkn watu hawajui, mtu unaweza pata ajali ya gari yako ukaona ni kawaida tu eti...kwann upate??? Umewah kujiuliza hicho kitu....kwann??? Be brave enough to know inside spiritual world...uta enjoy.
Njoo uchukue Pepsi big ya baridiUchawi upo Sana na wanaokataa uwepo wa uchawi ndio wachawi wenyewe
Haha! nmegundua naweza kua nahangaika na mtoto wa shule kwahio Uislamu haupo?Kitu ambacho huwezi kukithibitisha huwezi kusema kipo uchawi ni imani kama vile uislam na nikisema uchawi upo namaanisha upo kiimani lakini hauna nguvu kama wengi wanavyofikiri
Mimi siyo mchawi...na waganga wengi ni matapeli ....ila uchawi upo.....hata mimi nilikuwa siaminikama uchawi upo mpaka yaliponikutaNjoo uniroge wewe,nitakulipa.
Sidhani kama umewahi kugundua kwamba mkuu wa giza anaweza kujipatia lolote analohitaji kutoka kwako kama ikiruhusiwa afanye hivyo!? Kimsingi, hakuna unaloweza kufanya ama unakoweza kwenda, ukajificha au ukakwepa usiathiriwe kwa hila zake endapo tayari "umejitune" ukawa accessible kwenye frequency & anga za kuzimu. It works like magic because it is real magic -- ndiyo maana inaitwa ushirikina (superstition).Huyo mtu au hao watu si watumie uchawi wao kuzipata hizo taarifa.
Kama wana uwezo wa kupaa kwa ungo mpaka majuu huko na kukatiza anga za watu bila kuwa detected na radar, wanashindwaje kuzipata taarifa zangu?
Wadukue tu hata akaunti yangu moja ya benki na watazipata hizo taarifa.
BullshitSidhani kama umewahi kugundua kwamba mkuu wa giza anaweza kujipatia lolote analohitaji kutoka kwako kama ikiruhusiwa afanye hivyo!? Kimsingi, hakuna unaloweza kufanya ama unakoweza kwenda, ukajificha au ukakwepa usiathiriwe kwa hila zake endapo tayari "umejitune" ukawa accessible kwenye frequency & anga za kuzimu. It works like magic because it is real magic -- ndiyo maana inaitwa ushirikina (superstition).