Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Twende kwa facts.

Fact 1.

Huja define uchawi ni nini.

Hutakiwi kumshutumu mtu kwamba ni mgumu wa kuelewa, ikiwa hujafanya kitu cha kwanza kabisa cha kumuelewesha.

Hujatoa hata definition ya uchawi, unanishutumu mgumu wa kuelewa.

Wewe si tu hujaelewa, wewe hujui kufikiri.
Uchawi ni kutumia uwezo usio wa kibinadamu ama nguvu za giza (supernatural power) katika kuathiri na kubadili matukio, kuwatawala watu, kuteka, kuvuruga na kuhilibu (manipulate), kusumbua, kutisha, kutesa, kudhuru, kuangamiza, au kuua.
 
Ukisoma vizuri hii article yako paragraph ya pili unakili uchawi upo hapo unapo sema" ili ufanye kazi lazima wewe uane rogwa ukubali" ajabu bado una bishi uchawi haupo
Kitu ambacho huwezi kukithibitisha huwezi kusema kipo uchawi ni imani kama vile uislam na nikisema uchawi upo namaanisha upo kiimani lakini hauna nguvu kama wengi wanavyofikiri
 
Mm sifanyi shirki nyinyi mnaesema kuna uchawi ndio wachawi wenywe
Wewe umejuaje kama kuna uchawi kama sio mchawi
Basi sawa. Sema tu kwakuwa name calling kwa issue fulani fulani hairuhusiwi humu, la sivyo ningekutajia jina la Mheshimiwa ambaye aliwahi kuwa DC wa Magu, Mwanza (alikuja kuwa mtu mkubwa nchini, na sasa ni Msaafu) ili ukasikie ushuhuda wake kuhusiana na jambo unalobishia hapa.

Jamaa alikuwa haamini haya mambo na akawa anawaambia wale Wasukuma wa Magu kuwa hawana la kumfanya. Iko siku aliamka amelala kwenye uwanja wa Sabasaba, akiwa na familia yake hawajitambui. Alihama fasta na kama sikosei hakiendelea na u-DC kokote nchini tena.
 
mkuu Hazard CFC ni ngumu kukuelewesha ukanielewa bt nakushauri jenga urafiki na watu wa afya kisha katika maongezi uwe unawaulize juu ya haya mambo, pia kitu kingine kama uliwahi shuhudia hata mazingaombwe wakati upo shule basi itatosha kujua kua uchawi upo.
Ivi mazungaombwe ni uchawi
 
😁😁😁😂 mara kadhaa nimeshafikiria kubadili hii ID yangu, na mapema sana nitafanya hivyo.
Itakuwa vyema sana; una hoja zenye mashiko, sasa tukigeukia ujinani tunaulizana kulikoni. Anyways, tuko pamoja kulijenga taifa zuri la Tanzania & ufalme wa nuru.
 
Basi sawa. Sema tu kwakuwa name calling kwa issue fulani fulani hairuhusiwi humu, la sivyo ningekutajia jina la Mheshimiwa ambaye aliwahi kuwa DC wa Magu, Mwanza (alikuja kuwa mtu mkubwa nchini, na sasa ni Msaafu) ili ukasikie ushuhuda wake kuhusiana na jambo unalobishia hapa.

Jamaa alikuwa haamini haya mambo na akawa anawaambia wale Wasukuma wa Magu kuwa hawana la kumfanya. Iko siku aliamka amelala kwenye uwanja wa Sabasaba, akiwa na familia yake hawajitambui. Alihama fasta na kama sikosei hakiendelea na u-DC kokote nchini tena.
Watu wengi hawajui jinsi Mungu anavyowalinda kila sekunde; wengine badala ya kumshukuru Mungu wao wanamkufuru.
 
Facts, namshukur Mungu amewah kunionesha kwamba duniani kuna wachawi tangu nikiwa na miaka 8 na nilikuwa nawaona live wakija usiku nyumbani.

Bila kaka wala dada zangu wote kuwaona, so namshukur Mungu my spiritual Identity was ever strong mpaka sasa, ni jambo jema sana....wachawi wapo every now and then....na wanasababisha vitu vya ajabu sana lkn watu hawajui, mtu unaweza pata ajali ya gari yako ukaona ni kawaida tu eti...kwann upate??? Umewah kujiuliza hicho kitu....kwann??? Be brave enough to know inside spiritual world...uta enjoy.
Tupe iyo elimu
 
Kitu ambacho huwezi kukithibitisha huwezi kusema kipo uchawi ni imani kama vile uislam na nikisema uchawi upo namaanisha upo kiimani lakini hauna nguvu kama wengi wanavyofikiri
Haha! nmegundua naweza kua nahangaika na mtoto wa shule kwahio Uislamu haupo?
 
Huyo mtu au hao watu si watumie uchawi wao kuzipata hizo taarifa.

Kama wana uwezo wa kupaa kwa ungo mpaka majuu huko na kukatiza anga za watu bila kuwa detected na radar, wanashindwaje kuzipata taarifa zangu?

Wadukue tu hata akaunti yangu moja ya benki na watazipata hizo taarifa.
Sidhani kama umewahi kugundua kwamba mkuu wa giza anaweza kujipatia lolote analohitaji kutoka kwako kama ikiruhusiwa afanye hivyo!? Kimsingi, hakuna unaloweza kufanya ama unakoweza kwenda, ukajificha au ukakwepa usiathiriwe kwa hila zake endapo tayari "umejitune" ukawa accessible kwenye frequency & anga za kuzimu. It works like magic because it is real magic -- ndiyo maana inaitwa ushirikina (superstition).
 
Bullshit
 
Back
Top Bottom