Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Huwa wanajificha kwa njia hiyo yakukataa hakuna uchawi kumbe wao ndiyo waturutumbi wakubwaFuatilia kuna watu wanaitwa lambalamba maeneo ya nyanda za juu kusini wanafanya nini?
Pia watu ambao wanasema hakuna uchawi mara nyingi hao ndiyo wachawi.