Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Kunywa maji ufunge tu kinywa chako.Mimi huwa nasikia na Hakika naamini zote ni za kutungwa
Umesema vipo visa halisi, hivyo ndivyo nahitaji kupata kutoka kwako
Ulishuhudia uchawi lini? Wapi?
Huu ulimwengu wenye Imani ya Mungu una shetani pia.