Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Maombi yashapigwa sana yaniMwombee aisee! Yatajitimkia zao yenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maombi yashapigwa sana yaniMwombee aisee! Yatajitimkia zao yenyewe
Hawajijui wakishapikwa kichawi, ni kama mtu aliyenaswa umeme, mpaka umtegue, vinginevyo ndiyo safari ya maporomoko hadi kuzimu.Mkuu hapa unabishana na wachawi wenyewe, wcha kupoteza nguvu zako bure.
Nisingekukuta kwenye hii mada ningejinyonga, anyway nasimama kinyume na wewe, kuwa haya mambo yapo, bahati yako I ain't the one, wewe ningeshakufanya yangu siku mingi sana, sahii ungekuwa umekaa zako kwa kutulia.!!Unabadilisha magoli. Nimekwambia niroge au tafuta mchawi yeyote aniroge kama huwezi sema huwezi sitaki hizo ngonjera zako.
kuna mwaka fulani, nilifanya field training kwenye moja ya wilaya ya mkoa wa Morogoro, yaani ile siku nafika usiku wake nikapata jaribio moja kutoka kwa hao watu, aisee nashukuru Mungu huwa siingiliki.Wapo wale ambao kazi yao "kutest mitambo," yaani wanapimana ubavu, bila kijali nini. Hii inatokea sana maeneo ambako kuna watu wa kabila, koo, ama jamii ya nasaba moja inaishi pamoja. Huwa kuna kupimana ubavu. Watu wanachanjwa hadi maeneo nyeti, wanalishwa au kumezeshwa vitu vya ajabuajabu, wanapewa kutafuta vitu mbalimbali ili wawekewe mazindiko ya kishirikina. Duh!
One of the best comment kutoka kwako extro ila edit tu hapo PG language, weka tafsidaUjasiri wa kimungu haufungamani na mambo ya anasa. Unaweza ukaomba nguvu za kimungu ukazipewa ila the moment umetomb@na au kufululiza pombe basi unarudi kwenye mikono ya watesi wako chap na nguvu zinakuwa zimefifia.
Hapo ndipo ugumu ulipo.
Ah ah mzee kuna neno uchawi hauendi kwa mental..uchawi ni kama matatizo ya akili huwa hereditary au yanarithishwa..kama kwenye ukoo wenu kuna mchawi lazima nawe uwe au urithi mikoba...hawa waliobaki inategemea umejisogeza kiasi gani kwa hawa wachawi,..ndo maana kuna neno utanirogaje hata kitovu changu hujui nlipokizika,,...Ombea usipitie haya majaribu mkuu.
Kuna wengine wanadanganya wenzao kuwa hawaamini hii kitu haswa viongozi serikalini....utashangaa usiku hawalali, wako mitaani matako wazi kutafuta maalbino ili wakafanye mambo yao wapandishwe vyeo.Muwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika
naomba nroge mimi mama///kikubwa uwe na msambwanda tuNisingekukuta kwenye hii mada ningejinyonga, anyway nasimama kinyume na wewe, kuwa haya mambo yapo, bahati yako I ain't the one, wewe ningeshakufanya yangu siku mingi sana, sahii ungekuwa umekaa zako kwa kutulia.!!
"Sijui hupata faida gani?" Uchawi ama ushetani lengo kuu ni kumtawala mwanadamu na kumtumia for its own ends. Sasa njia inayotumika ndiyo hiyo ya kutisha, kuhofisha ili ujisalimishe kwenye mamlaka ya giza. Ndiyo maana watu watakwambia, Kazindikwe ili usisumbuliwe! Hicho ndicho ushetani unachotafuta -- kumweka kila mtu kwenye mamlaka yao ya giza. Tambua kuna falme mbili kubwa zinahasimiana -- NURU & GIZA!Hii ya kutest mitambo ipo Sana na hata sehemu ninayo ishi nikiwa mgeni walikuja hasa ukikaa eneo lenye wenyeji wa asili Wana hizi mambo na wanarogana kwa kwenda mbele. Sijui hupata faida gani?
Poa poa mkuuOne of the best comment kutoka kwako extro ila edit tu hapo PG language, weka tafsida
Naunga mkonoShukuru Mungu hivyo ulivyo
Hayo ya kurithi mikoba siyaamini japo kuna watu imewatokeaga. Ila kwa jamii yetu uchawi ni wa husda tu kuwa mtu utatusua labda watu wanakupiga kipapai.Ah ah mzee kuna neno uchawi hauendi kwa mental..uchawi ni kama matatizo ya akili huwa hereditary au yanarithishwa..kama kwenye ukoo wenu kuna mchawi lazima nawe uwe au urithi mikoba...hawa waliobaki inategemea umejisogeza kiasi gani kwa hawa wachawi,..ndo maana kuna neno utanirogaje hata kitovu changu hujui nlipokizika,,...
Unadhani maadui wa maguful tundu Lissu wanafurahi kuwaona wazimaFikiria tena aisee! Watu wanaenda kwa waganga na kweli, loh & behold, wanakuwa amazing zillionaires kesho yake asubuhi! Sema tu Shetani anakutumia ukishajikabidhi kwenye anga zake, ndiyo maana hakuna kitu hatari kama kujitafutia utajiri kishirikina. Lazima utazilipa tu, one way or another --- mara nyingi ni kwa gharama ya damu yako, watu wako wa karibu au makafara au hata ajali zisizoeleweka, sometimes.
True. Na wanaweza kufanikiwa utajiri au nafasi, vyeo, lakini cha moto lazima watapata -- and in many different ways.Kuna wengine wanadanganya wenzao kuwa hawaamini hii kitu haswa viongozi serikalini....utashangaa usiku hawalali, wako mitaani matako wazi kutafuta maalbino ili wakafanye mambo yao wapandishwe vyeo.
Sidhani umewaza kwa kina aisee! Ukisema uchawi hauna nguvu, kila mtu atakucheka, na ndicho anachotaka Iblisi uamini kwamba Shetani hayupo, au hana nguvu. Make no mistake about it. Kuna nguvu ya Mungu, ipo nguvu ya giza, likewise!!!Unadhani maadui wa maguful tundu Lissu wanafurahi kuwaona wazima
Jaribu kumloga Lissu watu mpk wametumia risasi kwanini wasitumie uchawi kumuua au watu wasiompenda magufuli kwanini wasitumie uchawi kumuua
Kwanini uchawi hauna nguvu kiasi hiko na hiyo nguvu ya uchawi ipo katika gani
mzee wangu aliangushwa kwenye jukwaa la siasa, ilibidi tumuwahi, akafanyiwa Dua ndio akatengemaa, la sivyo familia tungekuwa tunaongea mengine hadi sasaUnadhani maadui wa maguful tundu Lissu wanafurahi kuwaona wazima
Jaribu kumloga Lissu watu mpk wametumia risasi kwanini wasitumie uchawi kumuua au watu wasiompenda magufuli kwanini wasitumie uchawi kumuua
Kwanini uchawi hauna nguvu kiasi hiko na hiyo nguvu ya uchawi ipo katika gani
Kuna watu wanarushiwa uchawi, wanarithishwa au kushikishwa uchawi. Kwa mfano, kwenye familia ya kichawi labda mtoto fulani amekataa au imeshindikana kuurithi kama ndiye aliyeteuliwa, anaweza kuuawa, kuharibiwa akili au maisha, au hata kusumbuliwa maisha yake yote.Hayo ya kurithi mikoba siyaamini japo kuna watu imewatokeaga. Ila kwa jamii yetu uchawi ni wa husda tu kuwa mtu utatusua labda watu wanakupiga kipapai.
hawakuamuaKwanini hawakuwaroga wakoloni wafe au wawe walemavu?