Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Halafu ukute kuna mtu eti anatamani arogwe, duh! Si dhani mtu mwenye akili timamu anaweza kusema hivyo!😂😂 Kwa niliyoyapitia mbona nimeshika adabu na vifungu havinipigi chenga sasa hivi..tofauti na zamani huko ...Mungu azidi kutupigania maana dunia hii mmhh