comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Mkuu hata kama tusiposaini suala la viwanda its not an overnight issue. Lazima tuwe na mkakati wa muda mrefu tusitegemee 2020 Magufuli akatuonesha viwanda. Namshauri aweke mpango mkakati wa kuwa na viwanda kwa muda hata wa miaka 10 au 15 ijayo.Huu mkataba tukisaini nadhani ile dhana ya "nchi ya viwanda" inaweza kugeuka ndoto, nilimsikia leo Rais akiliongea hili jambo kwa kina...hizi Jumuiya mara nyingine inabidi tu kutofautiana nazo kama haziendani na mipango ya nchi yako.
Nchini mwetu hawapewi nafasi kisawasawa katika nchi zilizoendelea hata jambo dogo sana maamuzui mengi yanatokana na wataalamu.Duh hapo ndio ninapochoshwa na wasomi wa nchi hii, inakuwaje mpaka leo hamjafanya utafiti kujua faida na hasara za EPA? Kichekesho cha hali ya juu. Kweli kabisa mwenyekiti wa chama unatoka kwenye mkutano unajisifu kuwa hamjui faida au hasara za EPA na kujipa muda zaidi? Kama hakuna faida kwa nini msionyeshe msimamo na kukataa na kama kuna faida kwa nini msikubali? Je hili suala la EPA limekuja Ghafla? Nyie wanasiasa a wasomi msiofanya utafiti na msiojua wajibu wenu ni mizigo na majanga ya kitaifa. Kufanya utafiti kuhusu EPA mnaitaji miezi mitatu, are you serious?
Duh hapo ndio ninapochoshwa na wasomi wa nchi hii, inakuwaje mpaka leo hamjafanya utafiti kujua faida na hasara za EPA? Kichekesho cha hali ya juu.
Kweli kabisa mwenyekiti wa chama unatoka kwenye mkutano unajisifu kuwa hamjui faida au hasara za EPA na kujipa muda zaidi? Kama hakuna faida kwa nini msionyeshe msimamo na kukataa na kama kuna faida kwa nini msikubali? Je hili suala la EPA limekuja Ghafla? Nyie wanasiasa a wasomi msiofanya utafiti na msiojua wajibu wenu ni mizigo na majanga ya kitaifa. Kufanya utafiti kuhusu EPA mnaitaji miezi mitatu, are you serious?
Viwanda viko wapi wa kuuza bidhaa labda magwangala kule Geita !!Tungekuwa na wapinzani wa type hii Tanzania ingekuwa mbali sio wale wa Billcanas kwao kila ifanyacho serikali ni sifuri
Nakubaliana nawe hili suala la viwanda sio la kukamilika overnight lakini huu mkataba naona utakuza tu viwanda vya huko ulaya kwa kuwawezesha kuleta bidhaa zao huku with tax exemption, sisi hatuwezi kushindana nao kamwe, tutaishia lada kuuza raw materials halafu wataziprocess kwao na ikiwezekana kuzirejesha huku kama finished products kwa faida maradufu.Mkuu hata kama tusiposaini suala la viwanda its not an overnight issue. Lazima tuwe na mkakati wa muda mrefu tusitegemee 2020 Magufuli akatuonesha viwanda. Namshauri aweke mpango mkakati wa kuwa na viwanda kwa muda hata wa miaka 10 au 15 ijayo.
Mwambie mwenyekiti alipe kodi ya pango kwanza, hiyo na ya wengine itusaidie katika kujenga viwanda na maendeleo mengineViwanda viko wapi wa kuuza bidhaa labda magwangala kule Geita !!
Hili suala limekuwepo kwa miaka mingi, imekuwaje leo serikali imeshindwa kukataa na kulizika moja kwa moja wameamua kuongeza miezi mitatu, je hawajapitia makabrasha? Je hawajui nini wanataka? Kukwepa kuwajibika ni mojawapo ya sifa ya wapenda sifa wengi, huwa wanaogopa kuwajibika kwa maamuzi yao. Serikali ya awamu ya tano inaogopa kutake risk, ndio maana imeogopa kuupiga chini moja kwa moja mkataba wa EPA leo. What a shameTanzania kugomea au kuwa na mashaka na Mkataba ambao unakwenda kutufunga kwa miaka mingi ijayo ni jambo la muhimuna la kawaida na kila nchi makini kama TZ yetu hufanya hivi!
Hili suala limekuwepo kwa miaka mingi, imekuwaje leo serikali imeshindwa kukataa na kulizika moja kwa moja wameamua kuongeza miezi mitatu, je hawajapitia makabrasha? Je hawajui nini wanataka? Kukwepa kuwajibika ni mojawapo ya sifa ya wapenda sifa wengi, huwa wanaogopa kuwajibika kwa maamuzi yao. Serikali ya awamu ya tano inaogopa kutake risk, ndio maana imeogopa kuupiga chini moja kwa moja mkataba wa EPA leo. What a shame
Mtafute Ben Saanane akufundishe lugha ya kidiplomasiaDuh hapo ndio ninapochoshwa na wasomi wa nchi hii, inakuwaje mpaka leo hamjafanya utafiti kujua faida na hasara za EPA? Kichekesho cha hali ya juu. Kweli kabisa mwenyekiti wa chama unatoka kwenye mkutano unajisifu kuwa hamjui faida au hasara za EPA na kujipa muda zaidi? Kama hakuna faida kwa nini msionyeshe msimamo na kukataa na kama kuna faida kwa nini msikubali? Je hili suala la EPA limekuja Ghafla? Nyie wanasiasa a wasomi msiofanya utafiti na msiojua wajibu wenu ni mizigo na majanga ya kitaifa. Kufanya utafiti kuhusu EPA mnaitaji miezi mitatu, are you serious?
Free movement wakati nchi yako inaonekana ndio ya pili kutoka mwisho kwa skilled manpower afrika mashariki!?Mama Anna kama wanataka free trade ya marchandise basi kuwe na free movement ya watu pia,hahahaha tukiweka ya free movement of people btn East Africa and Europe,lazima watakimbia nduki.
NAFTA ilishasainiwa siku nyingi sana sana Trump analalamika kuwa nchi yake inapoteza kuliko kupata. By the way sisi tunataka nini kwenye EPA? Maana nisijekuwa nabishana na kopo tupu na mfuniko wake!?Nimekupa mifano ya Mikataba ya Kimataifa mingi tu ambayo ipo kwa muda mrefu kuliko hata EPA yetu na mpaka leo hii bado majadiliano yanaendelea, sasa kwanini unataka kwetu iwe tofauti?