Nimehudhuria ndoa ya single maza, pilau tamuuuuuu

Sio kweli nakataaaaaa,
ishu ya kupasha kiporo inaweza kua hata kwa asiye single maza kila mtu ana ex wake kama hajamove on utajua hujui (kwa hiyo hapa ishu sio ya single maza pekee)

hapo uliposema akikutana na mwenza wake ana changamoto ya uzazi atarudi kwa ex wake tayari hiyo sio sifa ya single maza, single maza tayari ana mtoto/watoto sasa akukimbie kisa huzai kwanini watoto si mtatumia wa kwake, lol utakimbiwa na yule ambae hana mtoto na yeye anatamani apate mtoto,

Kama humkidhi her sexual desire sio tu single maza mwanamke yoyote atakukimbia sasa mlioana ili mcheze mdako au?

Thank youuuu, i celebrate everyday🌈
 
Sasa fala kama huyo anayechaguliwa mchumba kwa whatsapp unategemea nini kutoka kwake? Yani anadata kwa kutumiwa picha za dada mtu whatsapp na kubadilisha msimamo wake, ndio unaona yupo kwenye mazingira sawa na sisi tunaoyaona ya mtaani kila siku? Au kisa anaishi Ujerumani, once again proving hypergamy ai its most obvious?
 
Ungejua wanaume wengi walio kwa Wazungu huwa wanataka kuoa wanawake kutoka Afrika.
Huwa wanakuja huku au kuwaambia ndugu zao wawatafutie wake!

Sio kitu kigeni labda wewe ndo mgeni wa haya mambo.
 
Umaskini na Wivu ni kama chupi na kalio😬😂😂

Chezeya Germany weweeee
 
Naswiat ni Single maza wa watoto 5 kaolewa na kijana m'bichi kwa raha zake.

Humu jf wengi wameoa Single mama ila wakilog in humu wakavuuu..!
Nimekukubali kwa sifa hizo single mother.

Labda nikuulize, hao wanaooa, wameoneshwa makaburi ya wazazi wenza?

Sifa nyingi ulizozitoa hapo juu ya kuoa single mom ni za kinadharia zaidi na huoneshwa kwenye 'penzi jipya mode'.

Mkishazoeana, mzazi mwenza anaanza kukumbukwa na kutafutwa hata kama alimtenda.

Mnapozaa mnakuwa ni mwili mmoja, haujawahi sikia?
 
Ungejua wanaume wengi walio kwa Wazungu huwa wanataka kuoa wanawake kutoka Afrika.
Huwa wanakuja huku au kuwaambia ndugu zao wawatafutie wake!

Sio kitu kigeni labda wewe ndo mgeni wa haya mambo.
Hajui halafu anadhani anajua plus wivu na chuki, hapo kifua kimemchemka kwa hasira😂😂😂
 
Hujiamini ndio maana unawaza yote hayo, matured woman for matured man, ONLY.
 
Hujiamini ndio maana unawaza yote hayo, matured woman for matured man, ONLY.
Kulitafiti jambo na kuja na conclusion, kwako ni kutojiamini?

Sishauri sana kwa 'kijana fresh' kuanza maisha ya ndoa zenye mapingamizi kama hizo.

Wasichana wapo wengi wenye sifa za kuolewa na 'wanaozeana' majumbani bhana.
 
Katumika kipindi cha kuhudumia mtoto wake kama baba kaingia mitini oyaaa
Oyaa jana nime-enjoy sana kuna single mother mmoja anabonge la tako alinituku wali wa nazi umetiwa zabibu sio mchezo ni mwendo wa kumkamatia tu kwa nyuma tu mpaka wazungu wanabisha hodi oya nyama ya mbuzi kagoma kwenda ni tamu sana asikwambie mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…