Nimehudhuria ndoa ya single maza, pilau tamuuuuuu

Oyaa jana nime-enjoy sana kuna single mother mmoja anabonge la tako alinituku wali wa nazi umetiwa zabibu sio mchezo ni mwendo wa kumkamatia tu kwa nyuma tu mpaka wazungu wanabisha hodi oya nyama ya mbuzi kagoma kwenda ni tamu sana asikwambie mtu
Mpuuuuzi weweeee🤣🤣🤣🙌🏻
 
Oyaa jana nime-enjoy sana kuna single mother mmoja anabonge la tako alinituku wali wa nazi umetiwa zabibu sio mchezo ni mwendo wa kumkamatia tu kwa nyuma tu mpaka wazungu wanabisha hodi oya nyama ya mbuzi kagoma kwenda ni tamu sana asikwambie mtu
Endelea na io tabia utakiona cha mtema kuni
 
Unajidanganya sana kijana, hata hivyo ni nani aliyekwambia ndoa ya kikristo ndio superior kwa ndoa zingine? Ndoa ni ndoa tu
Sijasema ndoa za kikristo ni superior nimesema kwa waislamu hawana shida na single mother ndio maana wanaolewa kuanzia mke wa pili ila kwa wakikristo ni mara chache sana single mother kuolewa labda aolewe na single father ndio huwa inatokea.Lazima tukubali soko la single mother ni gumu sana kwenye kupata ndoa labda huyo single mother awe anajiweza kiuchumi au awe anasifa za ziada kwasababu wanaume ambao hawana watoto wanaogopa kuingia kwenye ndoa na single mother kwa sababu kuu hizi:

1.kutakuwa na muingiliano na mzazi mwenza wa huyo mtoto

2.Anaogopa kuwekeza nguvu nyingi za kusaidia mtoto wa single mother mwisho wa siku akajutia kama akigeukwa maumivu yake yanakuwa makubwa tofauti na kama mtoto au watoto wangekuwa ni wa kwake

NB:hizo sababu zinaweza kuwepukika kama huyo single mother atakuwa na uchumi mzuri Kwanza atakuwa hamtegemei mzazi mwenza lakini pia mapenzi yake kwako yatakuwa ya ukweli sio kwasababu ya kifedha
Natafuta Ajira ephen_
binti kiziwi
leo dada
Dr. Mariposa
 
Umeanza kubadili gia angani, umekuja kwenye dini🤣🤣🤣 huyu anayefanyiwa kitchen party ni muikristo
Sijabadili gia angani ni kweli waislamu ndio huwa hawana shida na single mother hasa huwa wanawaoa kuanzia mke wa pili mbona hili liko wazi na tumwahi kulizungumzia humu lakini kwa single mother ambaye ni mkristo ni wachache sana wanaolewa labda aolewe na single father ila sio kwa mwanaume ambaye Hana mtoto
 
Tuko kwa mwamposaa tunakemea rohoo za single mazaa mkuu......tuma sadaka kwenye namba ilelilee nikuleteee maji na mafuta
 
Dr, Harusi ya mjerumani na pilau? Wale ni mashroom soup, Baiersbronn, Beluga caviar na mambo kama hayo. PILAU? Na vijiti vya meno?
 
1. Nikisema ndoa zinafungwa namaaninisha ndoa zote, hao wasiokuwa na tatizo na SM ni wanaume au sio wanaume? Ndoa ya mke wa pili ni ndoa ama sio ndoa?
2. Ukisema single mothers ni wengi mtaani maana yake na single fathers wapo pia au wao wanawake wanazaa na wanawake wenzao? Kama ninavyomuona single mother ni mwanamke kama wanawake wengine ndivyo hivyo hivyo nawaona single fathers ni wanaume kama wanaume wengine. Unaposema 'labda waislamu' , 'labda aolewe na single father' unamaamisha wao ni mabaki ya wanaume au unamaanishaje?
3. Mwanaume asiye na akili hata yeye akiwa na mtoto bado atataka kuoa asiye na mtoto. Yaani kwao tatizo la single parenting lipo kwa wanawake tu.
 
Bibi yangu ameolewa ana watoto 5 nimekuja kujua watoto wa 3 wa mwanzo sio wa mume wake nikiwa tayari najitambua.

Muhimu huyo Naswiat ni SM na kaolewa.
Basi huyo hana sifa za SM! Ni mchepuko aliyezalia nje ya ndoa
 
Mpemba anaishi Germany. Kwa hiyo huko kwenu mtu mmoja akienda kwa wazungu ukoo mzima unabadilisha culture wote mnakuwa wazungu? 🤣🤣🤣 Kazi ipo
Hahaha, Sasa German na pilau hainogi. Pemba sawa. Ila niseme tu ukweli, nimesoma mada haraka haraka nikakurupuka kujibu. Una hoja.
 
Basi usilinganishe mazingira yao huko na yetu huku. Sisi tuko field hapa TZ. Tunayaona yanayoendelea.
Wanaongea Mambo fikirishi wakati watu tupo kwenye field badala ya kupeana hope ni vizuri wakawa washauri wazuri wa single mother sijui kwanini sisi Africa tunaamini kwenye unafiki badala ya ukweli
 
Wanaongea Mambo fikirishi wakati watu tupo kwenye field badala ya kupeana hope ni vizuri wakawa washauri wazuri wa single mother sijui kwanini sisi Africa tunaamini kwenye unafiki badala ya ukweli
Point za mtoa mada ni harusi ya kifahari, pilau tamu na mume wa Germany. Sisi tunaangalia maisha ya ndoa, wao wanaangalia harusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…