Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Mhusikav toa taarifa hizi kwa polisi, sio hapa JF.
 
Weka picha ya gari, sasa unataka usaidiwaje bila hata picha?
 
Kwa Hali ya Sasa hivi, ni vizuri tununue magari ya bei nafuu. Beetle, Toyota Starlet, Toyota Corolla, nk. Hata spea zake ni bei nafuu.
 
Pole mkuu, kwa kutoa taarifa tu JF, gari utapata, wengine huku tuna upako, tutapasua sala ya kufa mtu, na mwizi atashindwa kwa jina la Yesu. Huenda gari imeshawashinda na kuliacha. Wewe wasiliana tu na polisi, utasikia gari ipo sehemu fulani. Pole mkuu.
 
Pole sana kaka/dada. Mungu akusaidie uipate
 
Kwa Hali ya Sasa hivi, ni vizuri tununue magari ya bei nafuu. Beetle, Toyota Starlet, Toyota Corolla, nk. Hata spea zake ni bei nafuu.
Kwani hiyo pajero io ni garu ya maana basi ,ni kadude tu mithili ya vits sema kapo juu juu,mm iwe bojo
 
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
Pole sana ndugu. Kingai anajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…