Nimeibiwa kuku wa nyama

we ebu lala Bado saa 10 alfajiri,au umeachika nipe location Nike nimalizie usingizi
 
Ni leo au tuseme jana asubuhi
Wameiba au umewapa bure?
yani wamekuja na pickup wakapaki nje ya geti wamekuja na tenga wamelifunga funga wakahesabu kuku 80 sijui wametumia kiini macho maana tumeona ksnisa kuku 80 wakajifanya kila mtu analipia ya kwake mmoja akasema ye hana cash ko wakalipia kuku 60
Tunaluja kuzinduka usiku huu kuku hawapo 300
 
wanatumia uchawi, pole sana wengi wameibiwa kwa style hiii hii, hutakiwi kuwaruhusu wahesabu wenyewe, bandani ingia wewe
 
Mbona unaleta mambo ya ndoto, huku tuliko hata saa 11 haijafika au uko India?
 
Hao wangese washawahi kumuibia sister wangu kuku karibia 300 kimtindo huo,ila wao mara ya kwanza walinunua fresh,sister akaona hawa ndio wateja,baada ya kupita siku kadhaa wakarudi tena,hapo ndio walipompiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…