Nimeibiwa kuku wa nyama

Nimeibiwa kuku wa nyama

Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭

Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga

Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Itakuwa asubuhi ya Jana lakini
 
Ni leo au tuseme jana asubuhi

yani wamekuja na pickup wakapaki nje ya geti wamekuja na tenga wamelifunga funga wakahesabu kuku 80 sijui wametumia kiini macho maana tumeona ksnisa kuku 80 wakajifanya kila mtu analipia ya kwake mmoja akasema ye hana cash ko wakalipia kuku 60
Tunaluja kuzinduka usiku huu kuku hawapo 300
Uwo wizi upo sana nafikiri ungekuwepo kwenye ma group ya wafuga broiler ungekuwa umeshasanuka kitambo , mara ya kwanza nasikia ilikuwa 2019 na mfugaji mwenzio aliibiwa kwa style hiyo sema aliyeiba alikuwa mwenyewe na pikipiki
 
Mkuu ukiingia project yeyote leta hapa jukwaani upewe maujanja usikae uruhusu mteja kuingia kwenye banda lako hata siku moja Wana namna wanakuchanganya wanakamata wawili wawili hakuna kiini macho hapo walikuona labda hujui hiyo mbinu yao na lazima muwe wawili akitoka bandani anahesabiwa mlangoni mmoja mmoja ukiwabana utaona wanazingua unatupotezea muda watajifanya kuchukia wanaondoka kumbe wanajua ujanja wao umeshtukiwa. Sio hao tu hata wateja kawaida ukimruhusu kuingia kwenye Banda umeisha Atanunua kuku 20 ataondoka 40 ogopa sana hawa wateja wanakuja na tenga wakiwa wawili au wanne then wataka kuingia bandani chagua

Waambie bandani naingia mm tu kuepusha kuambukiza kuku magonjwa na unakuwa una kijana wako mlangoni kuku akitoka kwako anapita kwa kijana then anaenda nje.
 
Mkuu ukiingia project yeyote leta hapa jukwaani upewe maujanja usikae uruhusu mteja kuingia kwenye banda lako hata siku moja Wana namna wanakuchanganya wanakamata wawili wawili hakuna kiini macho hapo walikuona labda hujui hiyo mbinu yao na lazima muwe wawili akitoka bandani anahesabiwa mlangoni mmoja mmoja ukiwabana utaona wanazingua unatupotezea muda watajifanya kuchukia wanaondoka kumbe wanajua ujanja wao umeshtukiwa.
Mbona kama ulivyoeleza ni simple kuwabaini. Kwani wanakuchanganyia wapi?
 
Ni leo au tuseme jana asubuhi

yani wamekuja na pickup wakapaki nje ya geti wamekuja na tenga wamelifunga funga wakahesabu kuku 80 sijui wametumia kiini macho maana tumeona ksnisa kuku 80 wakajifanya kila mtu analipia ya kwake mmoja akasema ye hana cash ko wakalipia kuku 60
Tunaluja kuzinduka usiku huu kuku hawapo 300
Hii ni kawaida sana, ndio maana hutakiwi kuruhsu mteja aingie bandani kujichagulia kuku, huwa wana ndumba
 
Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭

Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga

Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole pisi wangu

Unaishije na majirani ungepiga hata kelele?

Namba za gari umekariri?
 
Back
Top Bottom