Nimeibiwa kuku wa nyama

Nimeibiwa kuku wa nyama

Pole sana dada katoe taarifa polisi upate RB kwa hizo picha ulizowekwa hapo ni rahisi sana kuwapata
Nakumbuka miaka 26 iliyopita wapo walionijaribu na noti bandia na hawakutoboa
 
Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭

Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga

Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Wezi wenyewe hao hapo
Basi unawapata kwa hizo picha unawapata chap..
 
Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭

Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga

Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Wezi wenyewe hao hapo
Nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukufanyia vitu vyangu wapate kukurudishia kuku wako hao mababa5 walio kuchukulia kuku wako kwa nguvu .
 
Pole sana. Huo wizi upo muda mrefu sana jirani yangu aliwahi kuibiwa hivyo hivyo zaidi ya miaka mitano iliyopita.
1. Siku nyingine usiwaruhusu kabisa kuingia wenyewe bandani na kuanza kubeba na kuhesabu kuku. Hata kama upo mwenyewe ni bora umtafute kijana yeyote au hata boda boda wa jirani na kwako akusaidie hiyo kazi umpooze na pesa kidogo. Wao wabakie na kazi moja tu kupakia kuku kwenye gari/pikipiki waliyokuja nayo baada ya kumaliza kuhesabiana.
2. Mteja akija muulize anahitaji kuku wa ngapi kisha hesabu mwenyewe halafu watenge mahali nje ya banda ndio muanze kuhesabiana. Kama atataka kuchagua wewe ongeza hesabu yako hata kama ni 20 au 50 lakini hakikisha akishachukua kuku wake wewe unabaki na idadi kamili ya wale uliongeza ili achague.
3. Kuna jinsi hao washenzi wanawashika kuku hata watatu halafu wanafunika vichwa vya kuku wawili ndani ya mbawa za mwenzao wewe unaona kichwa kimoja kwa hiyo wewe una hesabu moja kumbe wenzako wapo tatu.
4. Mwisho hakikisha hao washenzi wanakupa pesa kabisa kabla hamjaanza kuhesabiana kuku. Hawachelewi kukupa hela nusu/feki wakijifanya wana haraka wanaondoka fasta.
 
Ngoja tuwahi kwenye mihangaiko tutawala kitoweo mchana ama weekend kwenye pilika pilika za shereheee
 
Ni leo au tuseme jana asubuhi

yani wamekuja na pickup wakapaki nje ya geti wamekuja na tenga wamelifunga funga wakahesabu kuku 80 sijui wametumia kiini macho maana tumeona ksnisa kuku 80 wakajifanya kila mtu analipia ya kwake mmoja akasema ye hana cash ko wakalipia kuku 60
Tunaluja kuzinduka usiku huu kuku hawapo 300
uzembe wako uekulpa
 
Back
Top Bottom